Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya: VP receives food donation to be distributed to residents of Ngomeni division, Mwingi District
 
Umepatwa na nini leo jirani?.. mbona hiki sio Kiswahili chako..
 
Aise unaleta reporti ya mwaka 2009 tukiwa 2018 wacha kujiaibisha.
Hata iwe ni miaka ishirini iliyopita, lengo nikukuonyesha kwamba, njaa Kenya na kupewa misaada ya chakula halijaanza leo, ni tatizo la muda mrefu na litaendelea kudumu kwa miaka mingi ijayo, nchi imekua ikiishi kwa kutegemea food donations hiyo, vipi mnajilinganisha na Tanzania katika standard of living?
 
Kuna watu wako na uchungu na Kenya kwa sababu IMF na world bank zimewaweka LDC. ni bidii tu .sio povu na mafusi jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…