stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,997
- 37,554
ingekua ile ya mathare wakishuka uniform zetu zna harufu ya moshi
FIFA ilitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa hivi vituo vya michezo, Tanzania ikajenga Dar na Tanga ambayo tayari zimeanza kufanya kazi na matunda yanaonekana.
Failed state kunyaland kama kawaida wao pesa zikapigwa 😂😂😂
View: https://youtu.be/Ozvo-C3HxYg?si=DyIQnSKHalV-fz_v
what pressure? they did set a budget for paying debts
View: https://x.com/ntvkenya/status/2059258336068165985?s=20
juzi nlikua nauliza mbna hatuoni picha za ujenzi unaoendelea, kumbe wanajiandaa kuzindua tena soonPressure inatoka wapi tena ikiwa wameshazindua ujenzi? 😁
ameishia kuongelea Arsenal, uku kila siku mama samia anatoa Pongezi timu yakeHapo watapita kama wanaaga maiti😂😂