stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,570
- 39,814
wamepaka chok nnSufuria looks manipulated here! View attachment 3596811
wamepaka chok nnSufuria looks manipulated here! View attachment 3596811
Kwahio kwa mkapa tunatumiaga binoculars sio?Hapa utatumia binoculars kuwatch mpira, terrible design
Ilikua Tanzania and Uganda only, Kenya came later ila Msigwa alishasema wamejifunza so acha ipite, however Uganda washajiongeza wameweka bid ya peke yao ya AFCON 2030Maku huna unachojua,yule karia ametukosea sana Watanzania ilipokuja wazo la kuandaa afcon yy akapendekeza na nyie wangese mshirikishwe
ni mzee wa hovyo bila shaka, anaongeaga ujinga kichzView attachment 3596826
Hilo zee mwaiofhawaii lina mchango mdogo sana kwenye jamii ya kikunyan,angalia comment zake humu ni kama mtoto wa miaka 5,angalia hii picha yake inaeleza kila kitu yuko vp 😂,ni lizee ila alijielewi
I think idadi ya mashabiki tells you what trash your hostingSiku mtafika levels za kuhost global sporting events kama hizi njoo kwenye meza ya mazungumzo
View attachment 3596829View attachment 3596830View attachment 3596831View attachment 3596832View attachment 3596833View attachment 3596834View attachment 3596835View attachment 3596837
Enola damping site mnadhani hii ni AI 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DY5hHEXMGId/?igsh=MW5sOHVxMXRubTlsZg==
Sawa kunguru.Tunakusaidia kupata news wewe unasema we are celebrating, BTW this is part of kenya since your are never serious, its either fire ama building imeanguka, these are common news,
Acha ubishi, Aliye bid na kutoa wazo la Afcon Pamoja bid ni Tanzania.
Ninyi na wale wala matoke hamkuwa na habari yoyote.
Afcon ipo East Africa kwa sababu ya Tanzania.
Mmeambiwa acheni kujizima data. 😂😂😂
Tizama hii video kuanzia dakika ya 1:42
View: https://youtu.be/HW0PUwbr81c?si=KVBtkRdATXJY3uVQ
tunajua mpo kwenye kipindi kigumu ila usijali, dawa zipo za kutoshaSawa kunguru.
FIFA ilitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa hivi vituo vya michezo, Tanzania ikajenga Dar na Tanga ambayo tayari zimeanza kufanya kazi na matunda yanaonekana.
Failed state kunyaland kama kawaida wao pesa zikapigwa 😂😂😂
View: https://youtu.be/Ozvo-C3HxYg?si=DyIQnSKHalV-fz_v
FIFA ilitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa hivi vituo vya michezo, Tanzania ikajenga Dar na Tanga ambayo tayari zimeanza kufanya kazi na matunda yanaonekana.
Failed state kunyaland kama kawaida wao pesa zikapigwa 😂😂😂
View: https://youtu.be/Ozvo-C3HxYg?si=DyIQnSKHalV-fz_v