Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unga ni 115 apart from from kampuni zingine zile unga zao huwa ghali kiasi.........alafu mjue vile mko dumb, unga Tanzania ni shilingi ngapi?
Nimeishi Kenya napajua vizuri hata nina ndugu zangu Nairobi make up in your mind bei yoyote ya chakula chochote utakayoikuta Kenya uwe na uhakika 100% Tanzania the same thing is a half price, this is reality

Tanzania vyakula is not a matter watanzania wanaeza kulalamika bei ghali lakini hawajawahi kufika Kenya wakaonja joto ya jiwe.

Meanwhile
 
rudi page mbili nyuma nilimuekea mwenzako unga 139ksh na ushahidi wakutosha😀😀
We jamaa usinione mjinga najua nacho kisema....juzi nimenunua unga wa soko 115 tusky supermarket Nakuru ningekutumia risiti kama bado ningekua nayo
 
Hio yote umeandika hapo ni useless porojo bila evidence.... Tuma picha ya hizo bidha kwa supermarkets za Tanzania
 
Hio yote umeandika hapo ni useless porojo bila evidence.... Tuma picha ya hizo bidha kwa supermarkets za Tanzania
For so what nikudanganye? Kwanza watanzania wengi hawana utamaduni wa kununua unga supermarket, unga wananunua kwenye local street stores au directly to the mills supermarket ni 0.0090 ndio huuza unga.
 
For so what nikudanganye? Kwanza watanzania wengi hawana utamaduni wa kununua unga supermarket, unga wananunua kwenye local street stores au directly to the mills supermarket ni 0.0090 ndio huuza unga.
Tuma ata bei ya bidhaa zingine kwa supermarket kama mchele nataka tumalize hii argument
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Show me any part of Dar es Salaam that can outcompete this part of Mombasa road Kenya
 
China donates 30 tons of food to drought-hit Kenya - China Plus
Acha kuweweseka, nimesema Kenya inapokea food donation, sikutaja nchi hiyo misaada inakotoka, kiukweli ni Kenya, South Sudan na Somalia pekee zinazopokea misaada ya chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…