Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
nimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha jana😀😀😀😀vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
sasa naanza na ile ahadi niliokuahidi jana 😀😀😀😀😀😀nimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha jana😀😀😀😀vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
Ninachomaanisha kisumu ni ndogo kwa mwanzaKweli hakuna mji unaupita mombasa apa Tz zaid ya Dar
Lkn ukwel ni kuwa huwez kulinganisha mwanza na kisumu
Huo utakuwa ujinga
Bora ata edy japo ni kadogo mno
Bora edy kuliko kisumu maana kisumu haina mvutoKweli hakuna mji unaupita mombasa apa Tz zaid ya Dar
Lkn ukwel ni kuwa huwez kulinganisha mwanza na kisumu
Huo utakuwa ujinga
Bora ata edy japo ni kadogo mno
resort gold znznimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha jana😀😀😀😀vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
Kijana umekula lakini?
diamond mapenzi znznimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha jana😀😀😀😀vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
Wewe umemalizana nayo,ni time uolewe sasa.Wewe msichana malizana na adolescence kabla hujakuja kuharahara hapa ovyo
diamond star znznimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha jana😀😀😀😀vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
niendeleee au😀😀😀😀😀😀😀nimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha jana😀😀😀😀vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
80% complete ..Naks itachange kabsa kwanza wakiweka street lightsHii interchange niliwacha mchina amesha anza kushugulikia back in August nikitoka Kapsabet. Imefika wapi buda?
Hii interchange niliwacha mchina amesha anza kushugulikia back in August nikitoka Kapsabet. Imefika wapi buda?
ah kumbe hoteli tu? nchi ipi haina hoteli? 😀😀😀😀seychelles, mauritius are small islands but have fantastic hotels...mi nataka uniletee infrastructure (airports, highways, interchanges, and buildings too from ur 2nd city, Mwanza....if you even have any😀😀😀 au zile mawe ziko mtoni ndio skyscrapers😀😀niendeleee au😀😀😀😀😀😀😀
Hivi ninyi mnajua maana ya interchange?, Kwanza hilo neno mlilisikia kutoka Tanzania, kabla ya hapo mlikua mkizungumzia flyovers, tafadhali sana subirini interchange ya Ubungo muione ndiyo mtajua maana ya interchange, hiyo picha inaonyesha cross over, interchange ipo Ethiopia, na ingine ni hii ya Ubungo, gharama yake sio chini ya $90M, huo uchafu mnaoonysha haizidi hata $1M, toeni uchafu huo80% complete ..Naks itachange kabsa kwanza wakiweka street lights
We are talking about Kenya vs Tanzania in all aspects. Sasa unatakiwa unyoshe mikono kwamba TZ kwa hotels hamuiwezi.ah kumbe hoteli tu? nchi ipi haina hoteli? 😀😀😀😀seychelles, mauritius are small islands but have fantastic hotels...mi nataka uniletee infrastructure (airports, highways, interchanges, and buildings too from ur 2nd city, Mwanza....if you even have any😀😀😀 au zile mawe ziko mtoni ndio skyscrapers😀😀
bro sio kwa kilio hicho plz😀😀😀😀😀😀 sikua na nia nikutoe povu😛😛😛😛😛ah kumbe hoteli tu? nchi ipi haina hoteli? 😀😀😀😀seychelles, mauritius are small islands but have fantastic hotels...mi nataka uniletee infrastructure (airports, highways, interchanges, and buildings too from ur 2nd city, Mwanza....if you even have any😀😀😀 au zile mawe ziko mtoni ndio skyscrapers😀😀