Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A road system like this will never happen anywhere in Bongo in our lifetime… 😆😆
IMG_8906.jpeg
 
Wewe kima ngoja leo nikikate kichaka chako 😂😂😂

1. Exterior LED lights za Arusha stadium zitakua za kipekee zaidi ukanda huu. 👇🏾 this is Arusha stadium at night when completed 👇🏾View attachment 3593633View attachment 35936342. There is 18 skyboxes in Arusha stadium

3. Unajisifia water fountains outside Talanta affordable stadium.? 😂😂😂 Hiyo Talanta ilo na indoor Arena.?

Hizo zingine unataja zote sio qualities za better stadium. 😂😂😂
Na Watanzania wenzako wanasemaje kuhusu huo Uwanja Vs Talanta? 👇🏾😂😂😂
Screenshot_20260526-045409~2.png
 
Thanks for the render . We got a million of such renders in almost every corner of Kenya
Render 😅😅😅🤡
Usual Kunyaland delusional mindset about Tanzania and this is the reason wakundustan wenye delusional mindset kuhusu Tanzania wakifika Tanzania mnakuwa kama mnaaga maiti 😅
images (21).jpeg
 
Back
Top Bottom