concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Take it up with Safaricom -
Umeeelewa hiyo report au umejiletea tu , hiyo inacover five years strategic cycle iliyoanzia 2022 mpaka march 31 /2025
Take it up with Safaricom -
Jifunze kusoma report nakuelewaTake it up with Safaricom -
Sio error ila ilikuwa ni strategy ya Miaka mitano na sio ya mwaka mmojaNdio maana nikasema wakenya mnachukuliwa ujinga. Chukua hayo maelezo yaweke kwenye AI yoyote. Inakataa hesabu haziji:
Deepseek
Note on the "896.2 billion transactions" figure: This appears to be an error in the source text. 896.2 billion transactions would be impossible in a single period (that's more than 10,000 transactions per person in Kenya). It likely means 896.2 million transactions. The KNBS report for Dec 2025 showed 217.6 million monthly transactions nationally, so 896 million quarterly for Safaricom alone would be plausible.
Chatgpt
The statement generally shows strong growth of M-PESA in customers, merchants, app usage, and revenue generation, but the likely error is the claim of “896.2 billion transactions.” That figure appears unrealistically high compared to the reported 1.6 million active revenue-generating users, because it would imply hundreds of thousands of transactions per user. Most likely, the report intended to say “896.2 million transactions” instead of billion, making it a probable typo or reporting mistake.
Gemini
The Error
The number 896.2 billion transactions is a mistake. To put that in perspective, 896 billion transactions for 1.6 million users would mean every single user did over 500,000 transactions in one year (or more than 1,500 transactions every single day).
Sasa unabishana nini?Sio error ila ilikuwa ni strategy ya Miaka mitano na sio ya mwaka mmojaView attachment 3595006
Taarifa za fedha za kampuni au financial data haipatikani magazetini bali kwenye taarifa za kampuni ambazo Zinakuwa audited . Unataka tuamini data za gazetini wakati kuna taarifa ya kutoka safaricom ? Au hujui importance of ya report za kampuni?Sasa unabishana nini?
![]()
M-Pesa transacted Sh36 trillion, three times Kenya's GDP - report
Revenue from M-Pesa grew by 8.8 per cent to Sh117.2 billionwww.the-star.co.ke
Kaka soma vizuri pia. Kuna issue ya uongo imewekwa hapo 896.2 billion transactions kwa miaka mitanoSio error ila ilikuwa ni strategy ya Miaka mitano na sio ya mwaka mmojaView attachment 3595006
Hapo kaka hakuna ukweli wowote soma details hapo ni uongo. Haiwezekani. Hizo hesabu ni za uongoSio error ila ilikuwa ni strategy ya Miaka mitano na sio ya mwaka mmojaView attachment 3595006
Bongolala, kwani kazi ya press ni nini? Ama unadhani Kenya ni kama bongoslum kwenye the media is controlled by dictator suluhu.Taarifa za fedha za kampuni au financial data haipatikani magazetini bali kwenye taarifa za kampuni ambazo Zinakuwa audited . Unataka tuamini data za gazetini wakati kuna taarifa ya kutoka safaricom ? Au hujui importance of ya report za kampuni?
Shule yenu ya wapi nyinyi eti tuamini gazeti badala ya taarifa ya kampuni husika
Njaa inawasumbua. Mnachoweza ni online bullying. No facts ni uongo uongo tu na kutegeneza fake statistics.Bongolala, kwani kazi ya press ni nini? Ama unadhani Kenya ni kama bongoslum kwenye the media is controlled by dictator suluhu.
Anyway cry harder, refer to page 34. hohoho 😂 😂
PPP will never work well in a poor country like Tanzania where the population has low purchasing power. That’s why you have no such projects up to this day …
My advise is probably a JNIA airport hotel since air travelers have money. Wait till you toll that Kibaha expressway and you will realize how poor you are ..😆😆😆😆