Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ninyi mliotumia these material for roofings nani wa kumcheka mwenzake? Ila ninyi watu hata kuficha upumbavu wenu hamjui 🤡🤡
Talanta roofing material

View attachment 3594216
Talanta roofing material is more expensive than this Mabati mnatumia pale Arusha🤣😂🤣👇👇

1000280479.jpg
 
Unacompare village streets with a main road. Your village streets are not paved, usijiaibishe. If at all you have streets ju nyinyi hujenga bila mpangilio kama panya.
Ati ili affordable smart city iko na mpangilio.? 🤣🤣🤣
 
Floodlights wametumia pia in that Stadium ni za bei ya jioni😂🤣😂👇👇

1000280550.jpg
1000280560.jpg
 
Sisi kaka tuweke facts, wenyewe kwasababu tumewazidi ndio wanapenda hivyo kuweka vitu vya uongo na kudhalilisha. Sisi tuweke projects na vitu vya uhalisia. Na kama kuna sehemu kuna makosa tunayaweka lakini yawe ya ukweli
So hizi picha za Mabati in your Stadium ni uongo?🤣🤣😂

1000280552.jpg
1000280551.jpg
1000280550.jpg
1000280549.jpg

1000280479.jpg

Ama hizi lights za baiskeli zenye mmeweka kwa stadium ndio uongo?🤣🤣😂👇👇

1000280550.jpg
1000280560.jpg
 
Back
Top Bottom