4. Dr. James Emman Kwegyir Aggrey - Ghanaian, Kuna mtaa wa Aggray Kariakoo
5. Barabara ya Samora Machel (Dar es Salaam/Arusha)
6. Barabara ya Kwame Nkrumah (Dar es Salaam)
7. Barabara ya Jomo Kenyatta (Mwanza/Arusha)
8. Barabara ya Robert Mugabe (Dar es Salaam - Tabata/Msewe)
9. Kambi ya Jeshi ya Silaha za Nyuklia na Kemikali ya Kim Phung (Monduli) - Shujaa wa vita wa Vietnam (Kim Phung)
10. Barabara ya Kenneth Kaunda (Dar es Salaam)
11. Barabara ya Oginga Odinga (Mwanza)
12. Barabara ya Haile Selassie (Dar es Salaam / Arusha)
13. Barabara ya Albert Luthuli (Dar es Salaam Inapita karibu na maeneo ya Ikulu) - Mwafrika wa kwanza kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel.
14. Barabara ya Patrice Lumumba (Dar es Salaam / Dodoma / Mwanza)
15. Barabara ya Abdel Nasser (Dar es Salaam)
16. Barabara ya Indira Gandhi (Dar es Salaam)
17. Barabara ya Mahatma Gandhi (Dar es Salaam)
18. Barabara ya Eduardo Mondlane (Dar es Salaam)
19. Barabara ya Agostinho Neto (Dar es Salaam)
20. Barabara ya Marcus Garvey (Dar es Salaam)
21. Shule ya Sekondari ya Fidel Castro (Pemba, Zanzibar)
Orodha ni ndefu sana. Hapo nimekupatia barabara tu sijakuwekea shule, Taaisis, Majengo nk.
Acha ushamba jifunze historia ya nchi za watu