Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,049
- 33,278
amabcho unatakiwa kujua ni Hio bandari itaongezwa Gati kadhaa lakini kubwa lao ni mwezi wa 8 bagamoyo ikianza kufanyiwa mchakato, hio ndo ya kubeba kontena za SADC nzimaHii ya kuongeza Gati inatakiwa waharakishe kabisa... Sio jambo la uhitaji Tena... Ni ishu ya lazima.
Nimeongea na wadau wa bandari wanasema kontena zinakuja kwa wingi sana kuliko kawaida. Na export yetu ni ndogo kwa hiyo maghala ya kuhifadhi makasha matupu yote yamejaa! Hivyo pia ni advantage maana itabidi hata washushe gharama za freight ili container zirudi na kuendelea ku rotates.
Ni kujipanga tu na kuondokana na urasimu kwenye biashara za kimataifa.. nchi itasonga mbele na vijana watapata vibunda. Zile BBT programs zisimamiwe kwa ukaribu ... Hata zote zikiwa chini ya SUMA sio mbaya. Ili kuwe na usimamizi na seriousness.
Na jana wamechezea kichapoNasikia walichukua mchezaji wetu mmoja yule wa USA
Alafu ukiangalia vizuri utaona other than being better spaced, our seats are larger and have a softer padding than their seats.The Nyamwezis been talking ill of Talanta stadium seats thinking they were going to get foldable seats at their vagina only to get a slap in the face by installing squeezed bakuli seats. Now they are trying to validate their points by saying they got better seats than Talanta!
Very desperate people we got here