Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

AKA the half donut..🤣🤣🤣🤣
IMG_8901.jpeg
 
As usual anything Kenya does, Tanzania must copy .. and I can say that because there are many economic policies we initiate and later you follow same route … lately you have affordable housing..😆😆😆that should tell you something. Mnatuogopa kiuchumi…
Hapa 2006 wakenya bado mnajitafuta na mnakatana mapanga

1779597777541.png
 
Zingatia neno utafiti wa pamoja, .Wivu utawaua Hadi mseme 😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DYsK8-GKYIR/?igsh=cXpodzF5eGdlbTNk

Yani bongolala ni warahisi sana kudanganywa ndio maana tunawaita bongolala. Yani hivi wewe ukiskia media euphemism unameza tu kama mtoi hata huwezi angalia logic yake? Hivi Mchina atahitaji nini kutoka kwa Mtanzania in terms of technology ndio amshirikishe kwa mambo ya technology? Usaidizi gani wa Mtanzania unahitajika hapo? Hao bongolala wako hapo ni watoto wa wanasiasa na other connected families wako tu hapo kucollect per diems ila hamna kitu wanachoelewa hapo. Kama wangekuwa na hiyo technology kungekuwa na sababu zipi za kuwaita Wachina waje kufanya huo utafiti? Narudia, hiyo ni mali ya mchina. Faida asilimia 95 zinaenda kwa Mchina, 5% pekee ndio zinabaki kwa Mtanzania na hapo wanasiasi watazipiga karibia zote.
 
Tanzania earn more than $10b from mineral but Kenya get nothing. Mmezoea kudangwanywa mnadhani kila nchi ni waongo

Kenya is dead
 
As usual anything Kenya does, Tanzania must copy .. and I can say that because there are many economic policies we initiate and later you follow same route … lately you have affordable housing..😆😆😆that should tell you something. Mnatuogopa kiuchumi…
Special economic zone ipo toka 1970s, national housing Tanzania ipo hata Kunyaland bado haijawa nchi
 
mwaiofhawaii umeajiona ulivyo mjinga? Watu wakiwa kimya usidhani umewashinda
View attachment 3593886
Wakenya ni watu wapumbavu kweli, kwenye hii issue ya Dangote asilimia 99 ya wakenya hata hawakua wanajua Tanzania kuna EACOP na Tanga kuna port kubwa ya Uganda's crude oil, kisa tu watanzania hawaongei chochote mitandaoni wanafikiri hakuna chochote kinaendelea, siku wamekiona mitandaoni wanafikiri kimejengwa jana 😂😂😂
 
Just imagine mwaiofhawaii anajiita msomi, hajui hata lini SEZ nchini kwao imeanza lini. Hata kama angekuwa hajui kuhusu Benjamini Mkapa Special Economic Zone, ameshindwa kutumia google kujifunza!?

Nimethibitisha kuwa ukosefu wa chakula unamfanya mtu awe zezeta, tuwaptie watoto wetu chakula bora kuepuka aibu hii
 
Back
Top Bottom