Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's our culture. Don't want us to be the same. We only have a few projects with the names of African leaders.
1. The nelson mandela african Institute of science and technology - Arusha

View attachment 3593974

View attachment 3593975

View attachment 3593976

View attachment 3593978
Civilized presidents DONT name things after themselves while they are in office.
Samia Suluhu Hassan Stadium is another reason bongolala continues to shame the black man.
 
Uwanja wa Arusha is named after who?
We have:
1. Benjamini Mkapa Stadium - Dar es salaam
2. Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo - Dar es salaam
3. Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume - Dar es salaam
4. Uwanja wa Kambarage - Shinyanga
5. Uwanja wa Karume - Musoma
6. Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid - Arusha
7. Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine - Mbeya
8. Uwanja wa Samora - Iringa
9. Uwanja wa Nangwanda Sijaona - Mtwara
10. Uwanja wa Majaliwa - Lindi
11. Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi - Tabora
12. Uwanja wa New Amaan Complex - Unguja

Orodha ni ndefu sana. Kwanini unataka kutuletea Nongwa do you think cheap politics zitafua dafu kwa watanzania wanaojua Historia ya nchi yao?
 
Ongeza hapo Samia Suluhu the dictator.
 
Kwanini wakenya wapo obsessed na haya makarai namna hii 😂😂😂 mpaka vijijini ambapo traffic kubwa ni punda na bodaboda KENHA won't loose the chance to exhibit the mediocrity 😂😂 kwa traffic ipi hapa? Economic sense got wings 🤣

View: https://x.com/i/status/2058451115558006829

Nyinyi hata hizi barabara hamna in your cities, that alone should tell you how poor your country is.
 
Hizi huzikuti kwa regional road yoyote Tanzania ila ndo zimejazana Ukunduni.

View: https://vt.tiktok.com/ZSxm8UGcb/

But this is Highway ya Tanzania, Kwanza ni major trunk road connecting your first and second city😂😂🤣👇👇👇

1000274048.jpg
 
Back
Top Bottom