President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,620
- 94,218
Kariakoo Dar es salaam Tanzania
Nasikia walichukua mchezaji wetu mmoja yule wa USAHao petro de luanda wako vizuri mno,dar city safari hii itakua tumejipanga kisawa sawa
Anatafuta kila namna aweze kupata faraja. Pole Teargass tunaona unavyohahaSome says umeumia sana sasa unatafuta nafuu. Is it true.? 😂😂😂
Yani kwa nchi ya watu 78M mliamua Tu mnunue lights za baiskeli to install in a stadium?🤣😂😂👇👇Some says umeumia sana sasa unatafuta nafuu. Is it true.? 😂😂😂
Wengine washaanza kusema ati hizi sio picha za Arusha Stadium 😂😂🤣👇👇Watasema ni picha za 90s 🤣🤣🤣
amabcho unatakiwa kujua ni Hio bandari itaongezwa Gati kadhaa lakini kubwa lao ni mwezi wa 8 bagamoyo ikianza kufanyiwa mchakato, hio ndo ya kubeba kontena za SADC nzimaHii ya kuongeza Gati inatakiwa waharakishe kabisa... Sio jambo la uhitaji Tena... Ni ishu ya lazima.
Nimeongea na wadau wa bandari wanasema kontena zinakuja kwa wingi sana kuliko kawaida. Na export yetu ni ndogo kwa hiyo maghala ya kuhifadhi makasha matupu yote yamejaa! Hivyo pia ni advantage maana itabidi hata washushe gharama za freight ili container zirudi na kuendelea ku rotates.
Ni kujipanga tu na kuondokana na urasimu kwenye biashara za kimataifa.. nchi itasonga mbele na vijana watapata vibunda. Zile BBT programs zisimamiwe kwa ukaribu ... Hata zote zikiwa chini ya SUMA sio mbaya. Ili kuwe na usimamizi na seriousness.