Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kama unatafuta furaha ya kulazimisha. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ taa zimewekwa na website ya watengeneza taa imewekwa, sasa kazi kwako.
Na ndio nakuambia they are low quality and are nolonger used in modern stadiums ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1000279649.jpg
 
Hii ya kuongeza Gati inatakiwa waharakishe kabisa... Sio jambo la uhitaji Tena... Ni ishu ya lazima.

Nimeongea na wadau wa bandari wanasema kontena zinakuja kwa wingi sana kuliko kawaida. Na export yetu ni ndogo kwa hiyo maghala ya kuhifadhi makasha matupu yote yamejaa! Hivyo pia ni advantage maana itabidi hata washushe gharama za freight ili container zirudi na kuendelea ku rotates.

Ni kujipanga tu na kuondokana na urasimu kwenye biashara za kimataifa.. nchi itasonga mbele na vijana watapata vibunda. Zile BBT programs zisimamiwe kwa ukaribu ... Hata zote zikiwa chini ya SUMA sio mbaya. Ili kuwe na usimamizi na seriousness.
 
Nimesikia hapa plan in two years Mombassa siyo mshindani wetu kwenye ukanda huu. Tutakuwa tunashindana na South Africa

View: https://www.instagram.com/reel/DYsGMVvjNA1/?igsh=am9jODcyMTRwaDdp
 
Wewe kima ngoja leo nikikate kichaka chako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

1. Exterior LED lights za Arusha stadium zitakua za kipekee zaidi ukanda huu. ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ this is Arusha stadium at night when completed ๐Ÿ‘‡๐ŸพView attachment 3593633View attachment 35936342. There is 18 skyboxes in Arusha stadium

3. Unajisifia water fountains outside Talanta affordable stadium.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hiyo Talanta ilo na indoor Arena.?

Hizo zingine unataja zote sio qualities za better stadium. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Msamehe tu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1779559136642.png
 
Hiyo mabati ndio wanasema iko higher quality kuliko PTFE-coated fiberglass.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mmmh hebu tulinganishe quality basi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
IMG_5237.jpeg
IMG_5357.jpeg
vs ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
IMG_5228.jpeg
tofauti yake ni mbingu na ardhi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. PTFE ni jina tu la kitaalamu. Kwa Kiswahili tunaita turubai. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
 
Nimesikia hapa plan in two years Mombassa siyo mshindani wetu kwenye ukanda huu. Tutakuwa tunashindana na South Africa

View: https://www.instagram.com/reel/DYsGMVvjNA1/?igsh=am9jODcyMTRwaDdp

Mambo yakienda kama mpango huu ulivyo maana yake hata hiyo mombasa haitajulikana tena.

Nimeona Rwanda wameamua kuhamia bandari ya Tanga completely kwa mizigo ya ya import na export. Ndio maana yule dalali Kasongo alileta hadithi ya kuunganisha Reli yao ya makaa ya mawe ifike Hadi Singida ili ku counter deal ya Tanga Port.
 
Mmmh hebu tulinganishe quality basi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐ŸพView attachment 3593670View attachment 3593671vs ๐Ÿ‘‡๐ŸพView attachment 3593672tofauti yake ni mbingu na ardhi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. PTFE ni jina tu la kitaalamu. Kwa Kiswahili tunaita turubai. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Alooo tofauti kabisa aisee, haki ya mama wakenya wamshukuru sn Annael na jf kuanzisha huu uzi, wanaona jinsi gn serikali yao inavyowachezea ktk kila kitu. Ona sasa utofauti wake, ni mbingu na ardhi kabisaaa.
 
Back
Top Bottom