mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
These Tanzanians are arguing with a lot of emotion and bitterness. As such, they don't reason most of the time provided they've said something negative about Kenya even if it's blatant lies. Yani hawajawahi kuamini kwamba Kenya inawashinda kwa sectors zote muhimu. Japo hata sisi pia tuko na chalenges kibao kama tu wao, lakini chuki na roho mbaya umewakaba hadi hawawezi kukubaliana na ukweli kwamba kwa sasa, tushapiga hatua kuwaliko
Vyema sasa useme ni hatua gani kenya imepiga,zaidi ya kelele humu.
daressalaam football staduim