Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Eti mtanzania hufanya jambo kwa faida? Hehehe....ujamaa uliwafaidi nini? Na hiyo shirika lenu ya ndege imewafaidi nini hadi wa leo? Wakati air Tanzania ndio inajikskamua kununua ndege 2018, Kenya airways has been in operation since 1970s. Are you seeing the difference?Tunatofautiana malengo kijana,tofauti ya mkenya na mtanzania ni hii.mtanzania hufanya jambo kwa Faida Tu,mkenya hufanya jambo kwa kutafuta sifa Tu. Leo hii hujui Kama tunalo shirika la Ndege,na wala hutakaa ulijue.ila Ndege zimeishanunuliwa na zimeanza kazi.
Ujamaa umetuondolea tribalism, corruption, insecurity, slums, gap between rich and poor, land grabbers, njaa and extreme povertyEti mtanzania hufanya jambo kwa faida? Hehehe....ujamaa uliwafaidi nini? Na hiyo shirika lenu ya ndege imewafaidi nini hadi wa leo? Wakati air Tanzania ndio inajikskamua kununua ndege 2018, Kenya airways has been in operation since 1970s. Are you seeing the difference?
What do you mean by "KQ leaders company"? Tumia tu kiswahili bro. Tutakuelewa tu badoGood and how much is owned by the KQ lenders company?
Na mbona bado mko LDC kama ujamaa ilisaidia "kuondoa" hayo yote?Ujamaa umetuondolea tribalism, corruption, insecurity, slums, gap between rich and poor, land grabbers, njaa and extreme poverty
mlenge huyo fala bro...bado ujamaa inamsumbua...Na mbona bado mko LDC kama ujamaa ilisaidia "kuondoa" hayo yote?
Wewe nimekuambia ujamaa umekuja kutuondolea hayo niliyo wataja, sio kupambana na ldc, ubepari umewaondolea ldc lakini umewaletea tribalism, corruption, insecurity, slums, land grabbers, extreme poverty. The choice is yoursNa mbona bado mko LDC kama ujamaa ilisaidia "kuondoa" hayo yote?