stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,195
- 33,780
mpe heshima yake, the only billionaire
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/2055688224543285333?s=20
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/2055688224543285333?s=20
mpe heshima yake, the only billionaire
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/2055688224543285333?s=20
sio the only billionaire in Tanzania, naamini Rostam is a billionaire too! Baada ya kuinyakua NMG na kukaribia kukamilisha ujenzi wa gas terminal Mombasa, kainyakua Songas ya PanAfrican Energy Corporation (PAEM)! Mind u each of these deals r over $100 mln na kabla ya hapo alileta Yas Tanzania! Kumbuka yupo pia kwenye Sukuk bond ya SGR Uganda!
![]()
Canada’s Orca walks away for $10 as Tanzanian billionaire Rostam Aziz takes over key gas asset
Orca Energy has exited Tanzania’s key Songo Songo gas field for $10, handing control to a new consortium led by local player Taifa Gas in a major industry shiftafrica.businessinsider.com
plusnews.ug
This is obviously a hotspot from another phone. WiFi usually has no that low speed🤣🤣😂Mpumbavu mmoja 😂😂
View attachment 3589919
So in short umeona tukiongelea WiFi ukaenda kwa jirani akufungulie Hotspot ya simu? Hiyo speed sio ya WiFi, inakaa ya simu with a 2G network.Yaani wanaona Wi-Fi ni flex wakati bongo zipo huko masokoni, stands public spaces kibao tena za bure kabisa 😅😅
ivi azam waliona nn wakati wanawekeza pipeline, yaani derby wiki ya 3 wanashindwa kufikisha ata 50k views, hio plastic arena wataweza kujaza kwel
View: https://youtu.be/re_oiK0RXPE
meanwhile mechi ya simba queens jana tu ina 70k views
View: https://www.youtube.com/watch?v=puH63UEwRUc&t=95s&pp=ygUec2ltYmEgcXVlZW5zIHZzIHlhbmdhIHByaW5jZXNz
kenya ndo pipeline mzee babawamewekeza pipeline kivp?
Tanzania huku ni vitu vya bure hivyo na bundles za unlimited ni almost free
View: https://www.instagram.com/reel/DX6m5TvtXKd/?igsh=MTVpdG5vMmE0cGliMA==
View: https://www.instagram.com/p/DYXDrN-tf9F/?igsh=ODZ2Y3p4ZDg3bzVj