concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Versus
🤣🤣🤣🤣🤣
Hamna kitu Ukunduni wanaweza mbele ya Tanzania. Wiki ijayo Dangote team is in Tanga! AND BTW Dangote specifically mentioned LNG gas!Wamebembelezana na Dangote kweli kweli but it seems Jamaa is only focused on building the refinery in Mombasa🤣🤣😂
Hizi zote nenda ukaambie Dangote mwenye amechagua Kenya. Sasa sisi unatuambia unataka tukusaidie aje?Hawezi kujenga Kenya ambapo your only external market ni Uganda ambao na wenyewe wana refinery yao aache Tanzania ambayo kuna Malawi, Zambia, DRC, Comoros, Burundi, Rwanda, Mozambique, Zimbabwe, Kenya etc hawezi upeleka Kenya kama anataka lion market share!
Umesema Fresh teacher in public schools in Kenya ana earn Tsh. 200k, saahii unaniletea blogs za minimum wage public servant (which is not even 200k). Hivi kichwa yako iko sawa?
Ya bongoslum ni ya public servants ama civil servants. Ya Kenya ni ya kila mtu hadi wale wako Kwa private sector. Unalinganisha nini Sasa?
View: https://x.com/CJ_Haslett/status/2055898882337395015
MY TAKE
ufala wanabebwa ni level nyingine deadly!
Anadhani public servants na civil servants ni same thing. 🤣 🤣 🤣Ya bongoslum ni ya public servants ama civil servants. Ya Kenya ni ya kila mtu hadi wale wako Kwa private sector. Unalinganisha nini Sasa?
View: https://x.com/CJ_Haslett/status/2055898882337395015
MY TAKE
ufala wanabebwa ni level nyingine deadly!
Does this look like questioning to u?Tunabebwa aje ufala when we are questioning it? Huko kwenu ndio huwa mnabebwa ufala ndio maana mnashukuru Suluhu hapo Arusha for things that hapa Kenya angepata scrutiny hadi ajikojolee.
🤣🤣🤣🤣🤣Hawezi kujenga Kenya ambapo your only external market ni Uganda ambao na wenyewe wana refinery yao aache Tanzania ambayo kuna Malawi, Zambia, DRC, Comoros, Burundi, Rwanda, Mozambique, Zimbabwe, Kenya etc hawezi upeleka Kenya kama anataka lion market share!
Primary school dropout huyo.Anadhani public servants na civil servants ni same thing. 🤣 🤣 🤣
Dangote sio primary school dropout kama wewe. While he was building the refinery in Nigeria he had to build a new harbor to accommodate for ships bringing in supplies for the construction to assist the Lekki deep sea port and prevent delays. Sasa pale Tanga mkona port gani which can accommodate such a big project. Wacheni kuota bana.Eti mega port 😂😂😂
Mnajua how to eat emptiness
WiFi has unlimited monthly bundles so huwezi uliza mtu kama Hana bundles unless hujaitumia WiFi.Kwani wifi haina bundle? Ninyi watu wapumbavu kweli!