Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,367
- 33,702
I'm also sure huyo Mzee hakuwatch hiyo clip😂😂Hawa huwa hawawatch video. Wanakimbilia tu kupost. Usidhani bongolala ni Kenya penye kuna wifi kwa kila nyumba.😂 😂 😂
I'm also sure huyo Mzee hakuwatch hiyo clip😂😂Hawa huwa hawawatch video. Wanakimbilia tu kupost. Usidhani bongolala ni Kenya penye kuna wifi kwa kila nyumba.😂 😂 😂
Shida ni WiFi bro, wewe hujaiona vile wanaulizanga wakenya ati "kwani huna bando"😂😂Kumbe shida ni wifi na kutoenda shule. 😂 😂 😂
Mapema tu, wakunya hawaamini macho yao 🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/DYZbeFxjajH/?igsh=Y2pwNG9rd3UybDJ6.
Mtasindikiza kama vile bomba la mafuta na dalali mkuu kasongoYou begged Dangote to come to Tanzania just for the pictures 😂😂🤣
Dangote kasema wiki ijayo anatuma team! Msikilize...Hivi wewe mwanaume wa makende mbili unafurahia tu kuona rais wenu kamsalimia Dangote? Hujui ameongelea nini unafurahia tu salamu?
Umeona hiyo clip ya Dangote akiongea?😂😂Mtasindikiza kama vile bomba la mafuta na dalali mkuu kasongo
Rudi shule ukadai school fee yako.Mombasa ndio itajengwa, economy matters
Plus tumezingirwa na nchi with big economies too si kina Burundi Rwanda Malawi etc.
Mombasa makes sense, Kenya, Uganda ,Tz and Ethiopian markets altogether.
Ulisema hizi ni seats za wafanyikazi?🤣😂😂Rudi shule ukadai school fee yako.