stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,227
- 33,815
Duu na nyie kumbe mna pesa, i thought mko kwenye list ya extremely poor villagesWatu wa kawaida wengi wana pesa Kenya ….. no other country in East and Central Africa such over-sale can happen
In short alienda bongoslum to convince them refinery ijengwe Kenya. Si unaona hata account zao za serikali zimelenga kupost about the mention of the refinery. 😂 😂 😂
Hawezi kujenga Kenya ambapo your only external market ni Uganda ambao na wenyewe wana refinery yao aache Tanzania ambayo kuna Malawi, Zambia, DRC, Comoros, Burundi, Rwanda, Mozambique, Zimbabwe, Kenya etc hawezi upeleka Kenya kama anataka lion market share!Jamaa alisoma mandishi ya kuchochea without listening to the clip.
Yani every indication is pointing towards Kenya for the construction of that refinery.
Eti mega port 😂😂😂Hata wewe unaweza jenga 650k BPD refinery. Penye hakuna a mega port. 😂 😂 😂 Dangote knows his business.
Kwani wifi haina bundle? Ninyi watu wapumbavu kweli!Shida ni WiFi bro, wewe hujaiona vile wanaulizanga wakenya ati "kwani huna bando"😂😂
Dangote kasema wiki ijayo anatuma team! Msikilize...
View: https://x.com/magogonidaily/status/2055652771940946086
View: https://x.com/MichaelOduorr/status/2055710154117513232