Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
that's the only thing u can defend urself with! He "already confirmed"!Refinery itajengewa Kenya, Dangote himself already confirmed it. Sahii ni lobbying tu ndio anafanya.
that's the only thing u can defend urself with! He "already confirmed"!Refinery itajengewa Kenya, Dangote himself already confirmed it. Sahii ni lobbying tu ndio anafanya.
Hawa kondoo hivo vitu wameanza kuvitumia ukubwani ndio maana wana kaushamba cha kutambia watu WiFI. 😂😂😂Kwani wifi haina bundle? Ninyi watu wapumbavu kweli!
Yeah hiyo 200k ndio take home after all deductions wakati Tanzania 500k ndio take home.Umesema Fresh teacher in public schools in Kenya ana earn Tsh. 200k, saahii unaniletea blogs za minimum wage public servant (which is not even 200k). Hivi kichwa yako iko sawa?
And he affirmed it while in bongoslum that sio lazima refinery ijengwe penye kuna oil. Tanga port can't even support the logistics for building that refinery, do you know how massive a 17 billion dollar project is?that's the only thing u can defend urself with! He "already confirmed"!
And he affirmed it while in bongoslum that sio lazima refinery ijengwe penye kuna oil. Tanga port can't even support the logistics for building that refinery, do you know how massive a 17 billion dollar project is?
nakuambia tena mishahara Tanzania ipo juu kuliko nchi yoyote ukanda huu and I've a very good experience, we angalia tu hata worth of private pension schemes, Kenya ndio the poorest mmepitwa mpaka na Uganda, you're paid peanuts I don't expect you to agree though!Ya bongoslum ni ya public servants ama civil servants. Ya Kenya ni ya kila mtu hadi wale wako Kwa private sector. Unalinganisha nini Sasa?
Minimum wage in bongoslum ni elfu nne ya Kenya pekee.nakuambia tena mishahara Tanzania ipo juu kuliko nchi yoyote ukanda huu and I've a very good experience, we angalia tu hata worth of private pension schemes, Kenya ndio the poorest mmepitwa mpaka na Uganda, you're paid peanuts I don't expect you to agree though!
View attachment 3589901View attachment 3589902
Tanzania imesafirisha abiria million 6 in 2 years kwa electric trains hapo bado hatujafika Mwanza wakati Kunyaland imesafirisha million 4 kwa ule mtambo wa chang'aa, so it's tru kwa hiyo perimeter mtatupita in using dirty energy lakini we can offer him access to the huge market of his dirty energy than you!
Leta worth of your private sector pension funds na idadi ya private workers nikuoneshe kitu!
Shifting goal posts... Sasa wewe na hio elfu yenyu nne bado una nguvu ya kuongea. 🤣🤣Leta worth of your private sector pension funds na idadi ya private workers nikuoneshe kitu!
Ruto analipa walimu laki 2 kama house girl bongo 😂😂Primary school dropout huyo.
Hajui their lowest minimum wage is only 4 thousand Kenyan shillings per month na haijalishi kama uko Dar is a slum ama kijijini. 😂😂
Na ujue hii ni bila allowance. Hio laki yako mbili wewe ndio unajua kule umetoa.Ruto analipa walimu laki 2 kama house girl bongo 😂😂
Kwa ground! Kuko hivi!Dangote sio primary school dropout kama wewe. While he was building the refinery in Nigeria he had to build a new harbor to accommodate for ships bringing in supplies for the construction to assist the Lekki deep sea port and prevent delays. Sasa pale Tanga mkona port gani which can accommodate such a big project. Wacheni kuota bana.
That is a government blogger paid to buttlick and whitewash the government -it's called state propaganda and it's normal in all countries. A state propaganda machine is the coordinated system a government uses to shape public opinion, control narratives, and promote its own political agenda—often by repeatedly pushing selective or biased information through media and institutions it controls or influences. However, in Kenya, people will question it rather than applaud it. In Vumbistan, people will applaud it rather than question it. Here are the three quoted responses to the propaganda. All of them are questioning it.
View: https://twitter.com/nicsharpp/status/2055729751764140480
View: https://twitter.com/CJ_Haslett/status/2055898882337395015
View: https://twitter.com/Bygones_24/status/2055790252640395512
and here are some of the responses to the tweet. None of them is applauding it.
View attachment 3589854View attachment 3589855View attachment 3589856
That is the difference between Kenya and Tanzania Geuza. Hatubebwangi ufala kama nyinyi.
Leo Dangote ameenda Ethiopia, sijui wachawi watasemaje sasa?🤣😂😂
View: https://x.com/i/status/2055916498971951388
Mpumbavu mmoja 😂😂WiFi has unlimited monthly bundles so huwezi uliza mtu kama Hana bundles unless hujaitumia WiFi.
Yaani wanaona Wi-Fi ni flex wakati bongo zipo huko masokoni, stands public spaces kibao tena za bure kabisa 😅😅Hawa kondoo hivo vitu wameanza kuvitumia ukubwani ndio maana wana kaushamba cha kutambia watu WiFI. 😂😂😂