Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siku utafika Nairobi utadharau darislum yenu hiyo
Hizo mitaa amekutajia hapo eti iko na flats ni mitaa za ubabi, the equivalents of Runda, muthaiga, Lavington and the likes. ukitoka huko ubabini utapigwa na butwaa
 
ukiuliza mtanzania akuonyeshe ndege zao...oh yao
43d1f9f15bfaacc913dd498984fc971e.jpg
 
Hizo mitaa amekutajia hapo eti iko na flats ni mitaa za ubabi, the equivalents of Runda, muthaiga, Lavington and the likes. ukitoka huko ubabini utapigwa na butwaa
Nairobi haina rival hii east and central Africa......not in this earth....watapinga the obvious kama kawaida yao.. Kenya has corrupt rotten leadership both in government and opposition but it's citizens are extremely hardworking....that's why we are not as poor as Tanzania or Mali or Congo
 
Stop talking nonsense, kumbuka Air Tanzania inamilikiwa na Serikali 100% kwahiyo ikitokea loss kubwa inachukua muda kidogo Ku recover..
. KQ ina wadau wengi na serikali yenu ina benefit kidogo sana yani hilo shirika linawasaidia kutangaza tu nchi yenu na haliko kwa ajili ya kuipatia nchi yenu mapato..
Ingekuwa jambo la busara sana kama ungejiuliza mbona hiyo yenu inayomilikiwa na serikali asilimia mia moja halisikiki wala halionekani. I started hearing about air Tanzania some three years ago hata nikashangaa sana kwamba kumbe mko na shirika la ndege. Sasa manufaa yake kwenu ni gani? Au mnatumia kusafirishia mahindi kutoka kwa shamba?
 
some of the aircrafts owned by KQ and their registration numbers
Reg Aircraft Type *
 5Y-KQC Boeing 737-300(F)
5Y-KQD Boeing 737-300(F)
 5Y-KQG Boeing 737-700
 5Y-KQH Boeing 737-700
 5Y-CYA Boeing 737-800
 5Y-CYB Boeing 737-800
 5Y-CYC Boeing 737-800
 5Y-CYD Boeing 737-800
 5Y-CYE Boeing 737-800
 5Y-KYD Boeing 737-800
 5Y-KYE Boeing 737-800
 5Y-KYF Boeing 737-800
 5Y-KZA Boeing 787-8 Dreamliner
 5Y-KZB Boeing 787-8 Dreamliner
 5Y-KZC Boeing 787-8 Dreamliner
 5Y-KZD Boeing 787-8 Dreamliner
 5Y-KZE Boeing 787-8 Dreamliner
 5Y-KZF Boeing 787-8 Dreamliner
 5Y-KZG Boeing 787-8 Dreamliner
 5Y-KZH Boeing 787-8 Dreamliner
 5Y-KZJ Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-FFA Embraer ERJ-190
 5Y-FFB Embraer ERJ-190
5Y-FFC Embraer ERJ-190
5Y-FFD Embraer ERJ-190
5Y-FFE Embraer ERJ-190
 5Y-FFF Embraer ERJ-190
 5Y-FFG Embraer ERJ-190
 5Y-FFH Embraer ERJ-190
 5Y-FFJ Embraer ERJ-190
 5Y-FFK Embraer ERJ-190
5Y-KYP Embraer ERJ-190
5Y-KYQ Embraer ERJ-190
5Y-KYR Embraer ERJ-190
5Y-KYS Embraer ERJ-190
5Y-KYT Embraer ERJ-190
Its private company
 
Kwani hujui kizungu ni tatizo kwa hawa jamaa? Ingeandikwa kwa kinyamawezi labda angeelewa. The Diamonds of this wirld!

Kizungu nayo ni tunu mkenya anajivunia Kuwa nayo.simetimes you guys mna hitaji uponyaji toka mbinguni.
 
Ingekuwa jambo la busara sana kama ungejiuliza mbona hiyo yenu inayomilikiwa na serikali asilimia mia moja halisikiki wala halionekani. I started hearing about air Tanzania some three years ago hata nikashangaa sana kwamba kumbe mko na shirika la ndege. Sasa manufaa yake kwenu ni gani? Au mnatumia kusafirishia mahindi kutoka kwa shamba?

Tunatofautiana malengo kijana,tofauti ya mkenya na mtanzania ni hii.mtanzania hufanya jambo kwa Faida Tu,mkenya hufanya jambo kwa kutafuta sifa Tu. Leo hii hujui Kama tunalo shirika la Ndege,na wala hutakaa ulijue.ila Ndege zimeishanunuliwa na zimeanza kazi.
 
We jamaa unachekesha sana.. Tanzania hatuna sifa za kijinga kama nyie... Tuli launch east Africas longest cable lakini hukuona imetapakaa kila mahali instead nyie ndo mkasema hilo daraja liko kwenu.. Ila nyie wakikuyu mna shida sana
 
Yani Tanzania inakua na national carrier for the first time since independence with five planes to its name na inataka kushinda na KQ, a company that has been in operation since time immemorial! Hata hamna haya mkitaja ndege tano hapa
The KLM's KQ
 
Kwa hivyo Tanzania serikali yenu inawajengea nyumba!? Ndo maana mko LDC. Huo uzembe wote mtu atajituma aje aondokewe na umasikini? Sasa mtu mzima ukingoja serikali ikujengee nyumba uko na thamana yoyote kweli kwa nchi yako? LCD ni ldc tu
Sasa nyie mnasubiri nini? Gikuyu Landlords to build for you? Au kumiliki banda kama la Mbwa au Nguruwe Kibera na Dindora au Korogocho?
Who is better here?
And let me remind you again that Tanzanians are not interested in Renting houses, we struggle to build our individual dream houses.
 
Ndege tano zipi?? na wameshindwa kuikomboa bombardier pale kwa wazungu sababu ya madeni sembuse kuweza kununua ndege tano si Uchumi utaporomoka. Ndege zenyewe haziwezi fika Isiolo from southern Tanzania juu maximum distance to be covered cannot exceed 2000km ni ndege za the 80s and 90s.
Mbona kama umepanic hivi, unasema ndege hazipo halafu tena unasema haziwezi cover over 2000km, hehehe
 
Tunatofautiana malengo kijana,tofauti ya mkenya na mtanzania ni hii.mtanzania hufanya jambo kwa Faida Tu,mkenya hufanya jambo kwa kutafuta sifa Tu. Leo hii hujui Kama tunalo shirika la Ndege,na wala hutakaa ulijue.ila Ndege zimeishanunuliwa na zimeanza kazi.
Picha???
 
Kenya ilkua inamiliki zaidi ya 70% ya EA airways jifunze kufanya utafiti kabla ya kumwaga ujinga...angalau ata Uganda walijaribu kuchangia kwenye shirika Tanzania ilkua shida tupu(hadi sasa hivi Tanzania inapata shida kuchangia pesa kwenye budget ya EAC licha ya kuwa pesa tu kidogo)....ndege nyingi zilizomilikiwa na EA airways zilinunuliwa na serikali ya Kenya ndo maana ilkua logical Kenya kubaki na ndege baada ya shirika kuvunjika
Sio serikali ya Kenya, sema Serikali ya Kikoloni,
Be realistic.
 
Back
Top Bottom