stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,509
- 34,086
Kampuni nyungi kubwa za USA kuwekeza kiasi kikubwa hivi cha pesa inaambatana mara nyingi na approval ya serikali ya USA.GoT inafanya nn? Umeme wa JNHPP hauwezi kutumika kuwaita Tanzania?
Piga ua huyo fala, alikataa kuenda shule. 😂 😂 😂 😂unasemaje wewe? Hebu pita kule hujui datacenter ni nn na impact yake ni nn!
tusiwe waoga hata Total walikuja pia! Ukunduni kwenyewe wanatoa serious serious tax cuts! Kama umeme upo wa kutosha why not trying?Kampuni nyungi kubwa za USA kuwekeza kiasi kikubwa hivi cha pesa inaambatana mara nyingi na approval ya serikali ya USA.
as we said ifnot tanga then we know where to get our oil
View: https://x.com/ivymuthe/status/2054594668030042414?s=20