Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where are the multi billion gold companies kama Barrick? Companies za ExxonMobil, Shell, Black rock, Orphir, TPDF, etc zenye gas zinazowekeza 50 billion dollars? Tukifanya evaluations hakuna nchi inasogelea Tanzania kila company ikiwa properly audited, Kenya haina companies zozote za maana hata kuizidi DRC
They pay you peanuts while they run their business from their offices in Nairobi, Cape Town or Johannesburg. Nyinyi munatumika kama slaves tu, wenye biashara wako Nairobi enjoying their money. 😂 😂 😂
 
They pay you peanuts while they run their business from their offices in Nairobi, Cape Town or Johannesburg. Nyinyi munatumika kama slaves tu, wenye biashara wako Nairobi enjoying their money. 😂 😂 😂
Acha kujifungia Kibera, toka nje ujifunze. Hii hapa ni Barrick Gold Corporation imeunda Kampuni kwa ubia na Serikali ya Tanzania linaitwa Twiga Minerals

Kwa ujumla katika nusu ya kwanza ya mwaka 2025 pekee, ubia huo wa Twiga (ambapo serikali inamiliki asilimia 16 na Barrick asilimia 84) ulichangia kiasi cha dola za Kimarekani milioni 202 ($202 millions) kwa Serikali ya Tanzania kupitia kodi, mirabaha, na gawio.
 
They pay you peanuts while they run their business from their offices in Nairobi, Cape Town or Johannesburg. Nyinyi munatumika kama slaves tu, wenye biashara wako Nairobi enjoying their money. 😂 😂 😂
Nionyeshe any foreign entity Kenya iliwahi kutumia 800 million dollars kulipa mishahara, local suppliers, CSR

View: https://x.com/i/status/1355509751434665987
 
yes, and most of them who dont follow are banned
You are full of it … maybe for Tanzania companies in china if any. Do a research on the United States trade policy with China and then come back to me with your educated analysis.
 
Kwa hivyo unataka kujifanya huoni Samia Suluhu all over the place. Hakuna hata choo wanaweza jenga hapo Arusha without consulting the National Government, huoni hata wameweka picha ya kupenda mama wakati wako kwa assembly seating, clearly showing they work under her. 😂 😂 😂 In fact kesho Suluhu anaweza amka na aseme hizo miradi zote zisimamishwe na zitasimamishwa.
 
Ni goli gani nimehamisha kijana wa Tandale? I only mentioned ILO headquarters ambayo ipo Geneva. Did I mention regional offices anywhere here

Sasa nani kahamisha goli?
Tunacheza ligi so wako ligi ndogo ndogo ….why is this even a discussion?…😆😆
 
Kwa hivyo unataka kujifanya huoni Samia Suluhu all over the place. Hakuna hata choo wanaweza jenga hapo Arusha without consulting the National Government, huoni hata wameweka picha ya kupenda mama wakati wako kwa assembly seating, clearly showing they work under her. 😂 😂 😂 In fact kesho Suluhu anaweza amka na aseme hizo miradi zote zisimamishwe na zitasimamishwa.
samia how? idiot? Those projects r financed from city council internal revenues! Just like counties government in Ukunduni! I even showed u council representatives that r voted by the people! U have MCAs in the place of council representatives!
 
Back
Top Bottom