Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,594
kunyan sijui wana hali gani na lile tukutuku lao la moshi wanalofosi waliunganishe na uganda
wewe mpumbavu wa wapi? Mbona Arusha city municipal ina mradi wa jengo la ghorofa kumi Mt Meru na miradi kibao ya Halmashauri ikiwemo ofisi na conference center?10 billion is only 500 million kenya shillings.
Sasa unataka kutuambia eti your local government inaweza jenga hospitali kama hii bila idhini ya Samia Suluhu just because wakona own source revenue. 😂 😂 😂 Endelea kuota.
![]()
Ni lini ulianza kuwa kichaa? Maana siku zinavyoenda kinaongezekaEndelea kulia. So investors wenu wakinunua mabasi ni Sawa lakini wa Kenya wakinunua ndege kesi?😂😂
weka ripoti nzima mbona umeikata?kunyan sijui wana hali gani na lile tukutuku lao la moshi wanalofosi waliunganishe na uganda View attachment 3587951
Taarifa yote hii hapaweka ripoti nzima mbona umeikata?
Wanajenga ofisi, wachia hapo. Si unaona vile wewe ni mjinga.wewe mpumbavu wa wapi? Mbona Arusha city municipal ina mradi wa jengo la ghorofa kumi Mt Meru na miradi kibao ya Halmashauri ikiwemo ofisi na conference center?
kuna mradi wa hospitali 10 floors!Wanajenga ofisi, wachia hapo. Si unaona vile wewe ni mjinga.
Basi napanda, wewe unapanda Chopper?Endelea kulia. So investors wenu wakinunua mabasi ni Sawa lakini wa Kenya wakinunua ndege kesi?😂😂
Municipalities work under the powers of the Central Government, usiwe mjinga bana.kuna mradi wa hospitali 10 floors!
So shida kwako ni kutokuwa na uwezo wa kupanda hizo chopper?🤣🤣😂.Basi napanda, wewe unapanda Chopper?
there is municipal budget with the approval of city council with ward respresentatives!Municipalities work under the powers of the Central Government, usiwe mjinga bana.
The powers your municipalities have ni legislation pekee, the rest lazima central government iwe consulted.there is municipal budget with the approval of city council with ward respresentatives!
Hii nimeieleza kwa kina sana jana. Lakini unaendelea kubisha tu bila sababu. Sometimes kujifunza siyo ujinga.The powers your municipalities have ni legislation pekee, the rest lazima central government iwe consulted.
Hii hapa Mwenge Basi Stand ni OSR ya Manispal ya KinondoniThe powers your municipalities have ni legislation pekee, the rest lazima central government iwe consulted.
Haupo timamu akilini, Dangote anaongelea 20 billion dollars worth of refinery wewe unaleta story za home backyard business, that kind of refinery hata Tanzania ipo toka uhuru! Na kuna pipeline ya refined petroleum inatoka Dar to ZambiaSindio, kwani unadhani Changamwe ilikua inarefine maziwa. Usiwe mjinga, si ikona crude oil storage.