mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,281
- 6,712
Aren’t you the same fala who claimed UN has headquarters in Arusha …🤣🤣🤣Sasa nani kati Mimi nawewe ni mjinga, UN office haiwezi kuwa na economic benefit kwa common mwananchi zaidi ya mateso tu, gharama ya rent itapanda na wakodishaji sio nyinyi bali wasomali tu , kuongezeka kwa misafara na mambo ila kwa sababu nyinyi ni wajinga mtafurahia .
Hivi experts anayekuwa exempted kwenye income tax anafaida gani kwenu🤣🤣🤣