stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,379
- 36,627
Wanaota eti bongoslum kuna devolution, huko kila kitu inaanza na jina ya Samia na inaisha na Suluhu.Huyo tumpuuze tu
Imagine My county Nakuru being able kujenga hospitali kama hizi kwenye kila constituency
View attachment 3587832
Na masoko kadhaa kama haya
View attachment 3587833
Nini anajaribu kulinganisha haswa
Hivi vitu vidogo sana, masoko na bus terminal kama hivyo vyenu tushatoka.Huyo tumpuuze tu
Imagine My county Nakuru being able kujenga hospitali kama hizi kwenye kila constituency
View attachment 3587832
Na masoko kadhaa kama haya
View attachment 3587833
Nini anajaribu kulinganisha haswa
Ruto kakudanganya, au unaota amka utajikojoleaUngepitia video ungejua UN inapanua headquarter ya Nairobi kuifanya iwe the same level na zile za New York na Geneva
Ungepitia video ungejua UN inapanua headquarter ya Nairobi kuifanya iwe the same level na zile za New York na Geneva
Hawana hicho kaka. Maana yake Counties zinaendeshwa na pesa za central government.Hivi vitu vidogo sana, masoko na bus terminal kama hivyo vyenu tushatoka.
Hizo projects ulizoweka hapo zinatokana na allocation Toka central government, tunataka projects zikizotokana na owns source revenue tu,🤣🤣🤣🤣.
Hawajui hata hizo bus terminals wanazoziona online ni za municipals tu🤣🤣🤣Hawana hicho kaka. Maana yake Counties zinaendeshwa na pesa za central government.
Kitu hicho kilimshinda muingereza akayakikbia makoloni yake.
Central Government ya kenya italemewa na kutakuwa na vurugu isiyo na kifani
Mawazo yao wanadhani watu wataenda kutalii kushangaa jengo la UN nairobi. Huwezi ukaona mambo kama haya kwenye nchi za watu wenye akili. USA mwenyewe ameanza kujitoa kwenye organizations za UN.Buda usijidanganye wote tuko online , hata zijengwe zaidi ya zile kwenu bado itakuwa burden , ingekuwa labda kinashushwa kiwanda Cha Boeing hapo sawa ila ofisi Tena almost majority ni tax exempted.
Hizi ni sifa za kijinga tu🤣🤣🤣
Yaan ni sawa na kuwa kambi ya jeshi ya marekani kwenu
Lia zaidiRuto kakudanganya, au unaota amka utajikojolea
Kaka hebu tumpatie hivi hapa vichache aweze kujifunza kuhusu OSRHawajui hata hizo bus terminals wanazoziona online ni za municipals tu🤣🤣🤣
We ni mjinga tu, unataka arguments za kitoto na sina huo mudaBuda usijidanganye wote tuko online , hata zijengwe zaidi ya zile kwenu bado itakuwa burden , ingekuwa labda kinashushwa kiwanda Cha Boeing hapo sawa ila ofisi Tena almost majority ni tax exempted.
Hizi ni sifa za kijinga tu🤣🤣🤣
Yaan ni sawa na kuwa kambi ya jeshi ya marekani kwenu
Hiyo siyo HQ mdogo wangu. HQ ipo USA
Kizungu ni ngumu …😆😆…. Infact Nairobi is now the largest UN campus and more construction coming to enlarge it even further…Ungepitia video ungejua UN inapanua headquarter ya Nairobi kuifanya iwe the same level na zile za New York na Geneva
Ok mini-headquarter, are you happy?Hiyo siyo HQ mdogo wangu. HQ ipo USA
Hakuna kitu kama hicho duniani kote.Ok mini-headquarter, are you happy?
By next year Nairobi will have 5 UN bodies global headquarters tying New York ( though NY has the principal bodies )… now you knowHiyo siyo HQ mdogo wangu. HQ ipo USA
Sasa nani kati Mimi nawewe ni mjinga, UN office haiwezi kuwa na economic benefit kwa common mwananchi zaidi ya mateso tu, gharama ya rent itapanda na wakodishaji sio nyinyi bali wasomali tu , kuongezeka kwa misafara na mambo ila kwa sababu nyinyi ni wajinga mtafurahia .We ni mjinga tu, unataka arguments za kitoto na sina huo muda
Why do you post ignorance ?.. UN has many bodies .. make google your friendHakuna kitu kama hicho duniani kote.
It is just a normal UN office. Siyo HQ