Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,025
- 107,520
Katiba ya kenya inaongelea Devolution, lakini kinachofanyika ni political division through counties. Kila mwanasiasa anajimegea kipande chake.Unajua maana ya transfer of powers? 😂 😂 😂 Wewe ni fala.
Haya wanajenga kwahiyo kwa akili yako unadhani haliwi included kwenye presentation ya national budget?Usiwe mjinga kwani Governors wakijenga mahospitali ama ECD centers wanjenga kwa pesa ilitengwa wapi? You are very foolish.
Kwa hivyo Changamwe hakukua na storage ya crude oil ju walikua wanarefine maziwa to petroli ama? Si unaona vile we ni fala.
Infrastructure budget ya county governments haidirectly count as part of the national government's central infrastructure development budget. Hakuna kitu mang'ombe kama nyinyi mnanifunza
Kazi ya National Government ni kutransfer pesa to counties, they have no business on how counties will prepare their budgets. Usiwe mjinga.Haya wanajenga kwahiyo kwa akili yako unadhani haliwi included kwenye presentation ya national budget?
Unaelewa maana ya national budget kwanza?
Jibu swali leta infrastructure budget ya counties.
Huwa anajifanya mjuaji lakini akili yake huwa empty😂😂Huyo ni pumbavu, eti anadhani our governments ni same na hizo local governments zao where everyone works from directives of the president ju hakuna any transfer of power.
Tueleze maana ya budget ni nini?Kazi ya National Government ni kutransfer pesa to counties, they have no business on how counties will prepare their budgets. Usiwe mjinga.
Transfer of power sio kutengeneza wizi Buda.Unajua maana ya transfer of powers? 😂 😂 😂 Wewe ni fala.
Sasa hapa ime prove kuwa bajeti yote ya county ni from National budget.View attachment 3587799
On top of that Nairobi also gets infrastructure developments from the central government
Hawaelewi kuwa bajeti inakuwa inclusive na zile za counties ili kuunda bajenti ya nchi.Tueleze maana ya budget ni nini?
Kwa mujibu wa Financial Management.
Budget ni Revenue and Expenditure
Haya umeulizwa ulete Bajeti ya Kaunti moja. Wewe unaongelea transfer of money.
Jinga kweli hili
Sasa after kujaribu kusupport ujinga wako na ukafail, umeamua kuendelea kua mjinga zaidi instead of admitting you were wrong.Transfer of power sio kutengeneza wizi Buda.
Tanzania kuna municipalities ziko chini ya mayors na kadhalika na hazihusiani kabisa na central government na mandate yao Iko kwenye own source revenue ya municipality, allocation ya central government Iko based kwa parliament.
Ingekuwa devolution imewasaidia basi kuna county kama mandera, wajir na kadhalika wasingekuwa na shule za miti au kuwa na uhaba wa maji ,
Tanzania pamoja na kuwa hatuna devolution kwa sasa huwez Kuta kuna shule za miti au kusomea chini ya miti, actually most classes kwa sasa Zina tiles kitu ambacho kwenu ni ndoto
Kaka Tanzania tupo na Devolution inayoitwa D by D.Transfer of power sio kutengeneza wizi Buda.
Tanzania kuna municipalities ziko chini ya mayors na kadhalika na hazihusiani kabisa na central government na mandate yao Iko kwenye own source revenue ya municipality, allocation ya central government Iko based kwa parliament.
Ingekuwa devolution imewasaidia basi kuna county kama mandera, wajir na kadhalika wasingekuwa na shule za miti au kuwa na uhaba wa maji ,
Tanzania pamoja na kuwa hatuna devolution kwa sasa huwez Kuta kuna shule za miti au kusomea chini ya miti, actually most classes kwa sasa Zina tiles kitu ambacho kwenu ni ndoto
View attachment 3587799
On top of that Nairobi also gets infrastructure developments from the central government.
So tell us how this is the same with Dar
The spending of all those staff working at the facility.. all in Nairobi.Kenya should be proud. The UN secretary General has announced Nairobi has become the UN biggest campus in the world …. More offices coming….. could the UN headquarters in New York be moved too in the future… you never know … Woow!!!…