Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ruto umri wake ni miaka mingapi? Kazeeka sana shida nini?

1778594365500.png
 
Kawa Winga wa Dangote.

Ndio maana alimwalika Museven, na kaja TZ kushawishi.

Na Dangote kasema anamsikiliza yeye, maana yake anategema majibu kutoka kwake, kama BLOCK lote limekubali.
Hapo ndipo Dangote anakosea sikiliza speech ya Museveni leo! Utaona kuna kitu kimemfanya aiongelee Tanzania highly!
 
Back
Top Bottom