President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,463
- 93,883
Geza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenuEACOP mlifanya hivihivi na tunajua mwishowe ulikuaje!
it was all a political STUNT if that deal was really there isingekua ruto anasema tanga alafu dangote juba, it could have been well planned with correct infoGeza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenu
Even after Editing still it looks bad, the same same box
issue ni hivi kuna maongezi kweli ya refinery Tanga kati ya Uganda na Tanzania (partners wa EACOP) na naamini mama anajua ila ni kama Ruto hakutakiwa kujua kinachoendelea! Sasa baada ya kujua kimemuuma na kuamua kwenda public! Ila ukisoma body language utaona Museveni hakuwa comfortable na spilling the beans ya Ruto build Africa summit! Ruto anajaribu kujionyesha kama yeye ndiye planer wa mradi na anatufanyia favor! When dust set down tutajua kinachoendelea!it was all a political STUNT if that deal was really there isingekua ruto anasema tanga alafu dangote juba, it could have been well planned with correct info
i am on it currently however, remember the first day it was announced what i told you? Samia didnt act that way kwa bahati mbaya, it was intentional na pia even ruto mwenyewe kafika kwa kuchelewa, in short hakuna any serious deal apo, Pia ukisoma african insider, they claim the Refinery is import Refine Exportissue ni hivi kuna maongezi kweli ya refinery Tanga kati ya Uganda na Tanzania (partners wa EACOP) na naamini mama anajua ila ni kama Ruto hakutakiwa kujua kinachoendelea! Sasa baada ya kujua kimemuuma na kuamua kwenda public! Ila ukisoma body language utaona Museveni hakuwa comfortable! Ruto anajaribu kujionyesha kama yeye ndiye planer wa mradi na anatufanyia favor! When dust set down tutajua kinachoendelea!