Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
Kwaida yenu sana you stupid bongolalas hamkosa vijisababu na visingizio. Kwani ni shirika gani la ndege duniani haijawahi patwa na ajali? KQ has faced some of the worst accidents but it is still going strong despite the numerous challenges. Hizo zenu ndio zilikua ajali za aina gani kukwamisha huduma za shirika la ndege ya kitaifa? Stop this lazy talk na muanze kujenga nchi yenu itoke ldc. Vijisababu haitawasaidiaHahaha kwani KQ izo ndege ni zenu?? Hebu fuatilia ujue AirTanzania imemiliki ndege ngapi, kama isingekuwa kupata ajali ndege zetu AirTanzania ingekua mbali Sana..