game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,053
- 26,331
Oh my Dick, what is this? Are you living in this?![]()
Show me any estate ya common mwananchi in Dar with such buildings
Oh my Dick, what is this? Are you living in this?![]()
Show me any estate ya common mwananchi in Dar with such buildings
Dogo wewe ni mgeni hapa, we've discussed those things pages and pages here,
At present the Tallest buildings in east Africa are
1.Tanzania Ports authority 40floors 178m high
2. PSPF tower A 35floors 153m
3.PSPF Tower B 35Floors 153 m
4.UAP
Hiyo pinnacle bado mnachimba shimo since 2014,
There is no 34floor building in the entire kenya, Eat that.
Hayo maghorofa ya pamoja yalijengwa enzi za nyerere, tuliacha nayo, sasa hivi Magufuli ameamua kuyajenga tena, ili yatakuwa ya kisasa zaidi sio kama hayo yenu, too many people without necessary services, Shekilango National Housing, Urafiki, Temeke, Mwenge JWTZ, Lugalo JWTZ, just few to mentionThere is no single storey building in Dar es Salaam ya watu kuishi. Ghorofa zenu ziko pale Kariakoo, Ubungo na Posta.
Wewe ndiye hujui unachosemahujui unachosema
I was just reminding you, naona tayari povu,Ipo Mogadishu? We are discussing Nairobi/Dar here.

Hizo za serikali unazoongelea huku Nairobi zilivunjwa kitambo. Hizi mnazo kweliHayo maghorofa ya pamoja yalijengwa enzi za nyerere, tuliacha nayo, sasa hivi Magufuli ameamua kuyajenga tena, ili yatakuwa ya kisasa zaidi sio kama hayo yenu, too many people without necessary services, Shekilango National Housing, Urafiki, Temeke, Mwenge JWTZ, Lugalo JWTZ, just few to mention
Hayo mabweni ya Nairobi yanamilikiwa na only few Kikuyu politicians ,Hizo za serikali unazoongelea huku Nairobi zilivunjwa kitambo. Hizi mnazo kweli
View attachment 673190
Are they not Kenyans?Hayo mabweni ya Nairobi yanamilikiwa na only few Kikuyu politicians ,
The rest of you have nothing,
U and I know that Kenya isn't for every Kenyan,
But for few Muzungu, Indians, And some elite Gikuyu and Kalenjins from Nobel Families. ( the Uhurutos & co)
Not Kenyans, actually the owners of Kenya.Are they not Kenyans?
For your information, we have paid for two dreamliners, Kenya haina dreamliner hata moja, zote mlizonazo mumekodisha, lete ushahidi kama Kenya ina ndege zake yenyewe, zote hizo Boeing na zingine kubwakubwa mumekodishaSome Tanzanians here are so daft, KQ ilianza kununua ndege while you had nothing, ndege KQ wakonazo you can't even compare na hizo ndege tano munangoja hivyo. Leasing ilianza tu hapa juzi na sio ndege mingi zimekua leased. Kwanza KQ hata ikona ndege zake leased to other airlines. Munajipiga kifua na bombardier sasa mkinunua boeing au airbus si mtatembea uchi ju ya over excitement. One step at a time kwa aviation industry bado muna safari ndefu sana ndo mutambulike.
Hapo ndiyo tunatofautiana, sisi tunaamini kwamba serikali inawajibika kujenga nyumba kwa ajili ya wananchi wake ikisaidiana na private sector, kwa kufanya hivyo, itaweza kudhibiti ubora wa nyumba hizo na kuhakikisha zinakuwa affordable kwa wananchi walio wengi. Ninyi huko private sector inanguvu kuliko serikali, sio rahisi kudhibiti ubora wa nyumba hizo, ndiyo sababu kila kukicha majumba yanaporomoka huko kwenuAre they not Kenyans?
acheni nae huyo jamii forum yenyewe kaingia leo😀😀😀😀😀 hajui walikwepo wakenya na wengine wamekimbiaNot Kenyans, actually the owners of Kenya.
Umeanza kuonyesha ulivyo bogus,DarIn Tanzania apart from musicians hamna sector nyingine inalipa hela mingi zaidi ya Kenya. Name them. GDP ya Matatu industry ni kubwa kuliko GDP ya Dar mzima all industries combined.
Umeanza kuonyesha ulivyo bogus,Dar
Brt buses zinatengeza pesa ndefu kuliko ke sgr hujishtukii?
matatu ni aina ingine ya uchafu unaozunguka
dah! Imenibidi nicheke

The link clearly states that Moi International Airport recorded growth both in the number of passengers and Cargo which simply means JKIA is Competing with Moi International.soma hii link bro mujue muna handle watu wangap JKIA acha porojo 😀😀😀😀😀 sio watu tu mpaka mizigo imeshuka sana
Tough road for JKIA as cargo, passenger numbers decline
International media gani wakati tukija Nairobi tunakuja kupiga picha sisi wenyewe?, hizo slums kwetu sisi wabongo ndiyo kivutio pekee ambacho huku kwetu hatuna, tukija Nairobi hatuwezi kuacha kuangalia slumsView attachment 673182
International media uses Kibera just like Harlem. Hizo picha za New Kibera sio mimi nimeweka hapo
So what can we do for you son?Kenya has 5 int'l airports. Nairobi has Wilson airport handling local planes