ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
you have no credibilities of trying to correct our english while your grammar is leaving us with questions.
if i may ask, what english is this?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
''... whose music plays in another country..''
i think the correct sentence was supposed to be ".. whose music is played in another country.. ''.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

no wonder the whole city is a swahili villagehiyo ni kwasababu watanzania hawapendi kuishi kwenye apartments wanapenda kujenga nyumba zao wenyewe.
😀😀😀😀😀😀 sasa wacha awe kigingi cha treni kusimamaSK2018 kadandia treni kwa mbele. Lol!
Imewasaidiaje kuondoa njaa?My guy tell them
amekurupuka.SK2018 kadandia treni kwa mbele. Lol!

Yani Tanzania inakua na national carrier for the first time since independence with five planes to its name na inataka kushinda na KQ, a company that has been in operation since time immemorial! Hata hamna haya mkitaja ndege tano hapaFor your information, we have paid for two dreamliners, Kenya haina dreamliner hata moja, zote mlizonazo mumekodisha, lete ushahidi kama Kenya ina ndege zake yenyewe, zote hizo Boeing na zingine kubwakubwa mumekodisha
Yani Tanzania inakua na national carrier for the first time since independence with five planes to its name na inataka kushinda na KQ, a company that has been in operation since time immemorial! Hata hamna haya mkitaja ndege tano hapa
Kwa hivyo Tanzania serikali yenu inawajengea nyumba!? Ndo maana mko LDC. Huo uzembe wote mtu atajituma aje aondokewe na umasikini? Sasa mtu mzima ukingoja serikali ikujengee nyumba uko na thamana yoyote kweli kwa nchi yako? LCD ni ldc tuHapo ndiyo tunatofautiana, sisi tunaamini kwamba serikali inawajibika kujenga nyumba kwa ajili ya wananchi wake ikisaidiana na private sector, kwa kufanya hivyo, itaweza kudhibiti ubora wa nyumba hizo na kuhakikisha zinakuwa affordable kwa wananchi walio wengi. Ninyi huko private sector inanguvu kuliko serikali, sio rahisi kudhibiti ubora wa nyumba hizo, ndiyo sababu kila kukicha majumba yanaporomoka huko kwenu
Hahaha kwani KQ izo ndege ni zenu?? Hebu fuatilia ujue AirTanzania imemiliki ndege ngapi, kama isingekuwa kupata ajali ndege zetu AirTanzania ingekua mbali Sana..Yani Tanzania inakua na national carrier for the first time since independence with five planes to its name na inataka kushinda na KQ, a company that has been in operation since time immemorial! Hata hamna haya mkitaja ndege tano hapa
Kwa hivyo Tanzania serikali yenu inawajengea nyumba!? Ndo maana mko LDC. Huo uzembe wote mtu atajituma aje aondokewe na umasikini? Sasa mtu mzima ukingoja serikali ikujengee nyumba uko na thamana yoyote kweli kwa nchi yako? LCD ni ldc tu
Hahaaa I know....very funny indeedYani Tanzania inakua na national carrier for the first time since independence with five planes to its name na inataka kushinda na KQ, a company that has been in operation since time immemorial! Hata hamna haya mkitaja ndege tano hapa
Hahahahaaaaaaa nyi watanzania ni comedians kweliHahaha kwani KQ izo ndege ni zenu?? Hebu fuatilia ujue AirTanzania imemiliki ndege ngapi, kama isingekuwa kupata ajali ndege zetu AirTanzania ingekua mbali Sana..
Kawaida yenu hamkosi visingizio! mbaazi akikosa matunda....... Kamalisha methali. Mbona hamkutumia hio fursa wa umoja wa east Africa kununua ndege zenu na kujiendeleza kimaendeleo. Si baba wenu Nyerere bado aliwakwamisha in the stupid philosophy of ujamaa while other countries were making progress? Continue burying your heads in the sand stupid danganyikansnyie mnatamba wakati isingekuwa umoja wa East Africa KQ isingekuwa hata hapo ilipo.
Hana hata $200,000, Kwa mziki upi wa kumuingizia pesa?, hata ninyi wenyewe hamnunui mziki wake na hata hamuendi kwenye show zake, huyo hajui mziki kabisa, ameamua kuachana na mziki amegeukia siasa, huo ndiyo mwisho wa mziki wake, mwanamziki wa Kenya pekee kwa sasa ni AkotheeJaguar is worth 3.5 USD dia 4b
AKOTHEE is too rich
Kawaida yenu hamkosi visingizio! mbaazi akikosa matunda....... Kamalisha methali. Mbona hamkutumia hio fursa wa umoja wa east Africa kununua ndege zenu na kujiendeleza kimaendeleo. Si baba wenu Nyerere bado aliwakwamisha in the stupid philosophy of ujamaa while other countries were making progress? Continue burying your heads in the sand stupid danganyikans
Sasa mbona hamna hata ndege moja na mnapata hasara kila mwaka?, huo uzamani umewasaidia nini kama hadi leo haliwezi kujiendesha?Yani Tanzania inakua na national carrier for the first time since independence with five planes to its name na inataka kushinda na KQ, a company that has been in operation since time immemorial! Hata hamna haya mkitaja ndege tano hapa
Leo umenunua simu mpya nini maana unaandika vitu ambayo havieleweki,punguza mawenge