Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa Teargass alitupatia picha akatueleza alienda kutembelea 5 Star hotel

1778423919333.png
 
Watu wa mdomo kubwa bwana. 😂😂😂 mafuta ya Uganda, anaijipa umuhimu Kenya, yeye kutwa kuzurura kuelezea habari ambazo yeye hazimuhusu kabisa. Uamuzi wa huu mjadala ni wa kati ya Tz, UG na Dangote.. nyie endeleeni kujitia tia tu kama ushuzi wa ngomani.
Talanta will never be built and other stories 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom