Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio picha ni ya cs 100 za kwetu ni kubwa cs 300
Yeah.. Nimetaka wakenya waione hio habari... Roho zinawapasuka wakiona habari km izzo, Ata hiyo kuanzisha Safari ya moja kwa moja Marekani wameiga tu.. Ukiangalia KTN hakuna siku inapita hawajaweka speech ya Magufuli.. Inamaana wanamfuatilia kwa karibu sana maana wanajua Uyo MTU sio Wa mchezo mchezo
 
Wauza mitumba wa Gikomba Market ni Wachagga. Wanafanya nini kama hamna jobs Kenya?



wanatafuta hela ya Nairobi hahaha.............Nairobi inawakaribisha wote....hata hawa wa matusi hapa watasneak in kutafuta riziki
 
Ninasubiri jibu la kuhusu master plan ya jiji la Nairobi. Kisha tutaendelea. Hapa ni kutoa jibu la picha au reference document. Ukisema kwa maneno tu haina maana yoyote. Hata mimi hapa ninaweza kukuambia ni tajiri kuliko Dangote. Lakini kukiwepo na evidences ndio tunajua.
upload_2018-1-11_19-12-18.png
 
Yeah.. Nimetaka wakenya waione hio habari... Roho zinawapasuka wakiona habari km izzo, Ata hiyo kuanzisha Safari ya moja kwa moja Marekani wameiga tu.. Ukiangalia KTN hakuna siku inapita hawajaweka speech ya Magufuli.. Inamaana wanamfuatilia kwa karibu sana maana wanajua Uyo MTU sio Wa mchezo mchezo
upload_2018-1-11_19-14-34.png
 
But they are richer than your richest musician
Diamond Platnumz Net Worth
This multi-talented guy from Tanzania known for his singing, songwriting, and dancing also for playing various music instruments such as vocals, piano, guitars, and drums. Naseeb has earned his name and fame along with net worth in millions in a just half decade. The estimated net worth of this African singer is staggering $5 million US dollars as of 2017. Diamond Platnumz charges KSh370, 000 per show in his native Tanzania When performing outside of the Bongo nation, he charges KSh 2.3 million for his services.

How rich is Morgan Heritage?

Morgan Heritage Net Worth:
celebrity_net_worth.png
$11 Million
Ati analipwa ksh.370,000 hapo tz...
ndio maana event zao ticket ni cheap
 
tourism unasemaje??? BRT dar inakusanya pesa mara tatu ya SGR yenu 😀😀😀😀😀
Tafteni Airline then we can argue about that. meanwhile mtakuwa mnakujia direct flights to New York from here in Nairobi.
 
Nilikuwa jirani ya Professor Kaijage pale Survey Estate
Ulikua unafanya nini pale kwa Prof. Fred Kaijage na Prof. Josephat Kanywanyi?, hapo nyumbani kwa Prof. Kanywanywi ndipo alipoishi Yoweri Kaguta M7 wakati akisoma na kuendelea harakati za kumtoa Idd Amin.
 
Ulikua unafanya nini pale kwa Prof. Fred Kaijage na Prof. Josephat Kanywanyi?, hapo nyumbani kwa Prof. Kanywanywi ndipo alipoishi Yoweri Kaguta M7 wakati akisoma na kuendelea harakati za kumtoa Idd Amin.
I was working with an Int'l agency. did lots of work at Mlimani City Mall
 
In Tanzania apart from musicians hamna sector nyingine inalipa hela mingi zaidi ya Kenya. Name them. GDP ya Matatu industry ni kubwa kuliko GDP ya Dar mzima all industries combined.
Sasa wewe umekuja na longolongo ambazo wenzako ziliwashinda kuzitetea, ila hata wewe tutakuweka sawa tu. Uchumi wa Kenya ni bandit and most ruthless economy in Africa, Nyerere aliupa jina la man eat man economy, few to have everything and majority to have nothing.
Kwenu huko watu wachache wenye uhusiano na politicians are super rich, but millions live in slums, huku kwetu ni tofauti sana, kidogo tulichonacho tunajaribu kila mmoja aweze kufaidika.
 
Back
Top Bottom