stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,277
- 36,496
exactly what i was telling Teargass ashawahi jiulize tanga port itakuaje hayo mafuta yakianza kupitia apo Tanga? shida anaongea kinyonge sana tukimgombeza sana atajiua, si unaona Nicxie washampiga panga la uso kwa ubishiHawa tumeshawalia mingo siku nyingi wakija kushtuka Ugandan cargo passing through Mombasa itakuwa 500k tons ndipo watapiga nduru lakini itakuwa too late. Mafuta ya Uganda tuu yana guarantee Tanga port 11.5m tons annually.