Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa inaunganika vp moshi na umeme, ingekua tz na uganda apo sawa

View: https://youtu.be/W_BB0sLWZdo

Analilia link Singida ili apate access ya Rwanda Burundi and DRC 🤣🤣🤣hata hivyo kuunganisha hizi reli mbili ni kazi sana
1. Mifumo ya nishati ni tofauti umeme vs Diesel
2. mifumo ya control ETCS European Train Control System vs chinese
3. continuous welded vs jointed
4. design specification ni tofauti Tz 35 tons per axle while kenya 25 tons per axle
Sasa train ya SGR ya Tanzania ikiwa loaded ikienda Kenya itavunjavunja barabara yote ya reli in short hakuna muunganiko wa reli hapa too many deviation on specs
 
Analilia link Singida ili apate access ya Rwandam Burundi and DRC 🤣🤣🤣hata hivyo kuunganisha hizi reli mbili ni kazi sana
1. Mifumo ya nishati ni tofauti umeme vs Diesel
2. mifumo ya control ETCS European Train Control System vs chinese
3. continuous welded vs jointed
4. design specification ni tofauti Tz 35 tons per axle while kenya 25 tons per axle
Sasa train ya SGR ya Tanzania ikiwa loaded ikienda Kenya itavunjavunja barabara yote ya reli in short hakuna muunganiko wa reli hapa too many deviation on specs
hiyo namba 4 mbona inaepukika treni za Ukunduni zitabeba 25 tons maximum!
 
Analilia link Singida ili apate access ya Rwanda Burundi and DRC 🤣🤣🤣hata hivyo kuunganisha hizi reli mbili ni kazi sana
1. Mifumo ya nishati ni tofauti umeme vs Diesel
2. mifumo ya control ETCS European Train Control System vs chinese
3. continuous welded vs jointed
4. design specification ni tofauti Tz 35 tons per axle while kenya 25 tons per axle
Sasa train ya SGR ya Tanzania ikiwa loaded ikienda Kenya itavunjavunja barabara yote ya reli in short hakuna muunganiko wa reli hapa too many deviation on specs
huu muunganiko wa reli sielewi unaendaje labda kama ni oil ila kama ni kushare bandari hilo hapana, aua unasemaje Teargass
 
Back
Top Bottom