Kwenye hizi stats tuu zinaonesha mizigo ya transit to DRC and Zambia ime quadruple within muda mfupi wakati mizigo ya Uganda kwa kenya imepungua au iko more or less constant. Hii tuu inaonesha preference ya port of choice kwa wafanyabiashara within the region.