President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,605
- 94,173
Wakenya wakiona mambo haya, wanakasirika sana
sasa inaunganika vp moshi na umeme, ingekua tz na uganda apo sawa
View: https://youtu.be/W_BB0sLWZdo
i think south sudan walihamia dar kama sjakoseawanataka access ya mizigo Burundi na Rwanda! Tanzania inapaswa kuuliza access ya markets za Ukunduni vp? Somalia n Northern Ukunduni? au Ethiopia? do we get the same?
Ku konnect hakuna shida tutaweka high standards za emission watachomoa tu wenyewe 😁ruto anataka kucheza faulo anataka aconnect sgr yao ije kwetu
we zezeta umetokea wapi huku? umepotea njia?Kwani pesa zako