Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,722
- 4,601
KFCs na takataka zingine ndio maana ya middle class.? 😂😂😂 kuku za 10k Tzs ndio ziwezane na samaki mihogo za 40k - 50k.? Basi wazee mnayo safari ndeefu sana.Yani it has been in Kenya for roughly eight years and it already has 9 branches wakati Uganda imekuwepo for 21 years na ndio wako na 11 branches! When we tell minyamwezi nani ndio kusema ukanda huu wanaona ni mzaha