stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,261
- 33,827
wacha ubaguzi wewe!Mombasa wanaendana na watu wa Tanga au wazaramo tu ila tofauti na waha au kabila lolote la bara
tuhakikishe anashinda Urais 2027! Asilete tu ufala wa lugha ya kiingereza! Wampe barabara Dodoma!
Kaka sio uongo waha ni wapambanaji , muha yuko Radhi auze maji au alime shamba hata kwa mkataba ila hawez kufa njaa, mtu wa coastal hawez lingana na mtu wa bara kamwewacha ubaguzi wewe!
Dah usikute damu ya kihutu ipo ndani yako!Kaka sio uongo waha ni wapambanaji , muha yuko Radhi auze maji au alime shamba hata kwa mkataba ila hawez kufa njaa, mtu wa coastal hawez lingana na mtu wa bara kamwe
Haha kaka wahutu na waha hawana utofauti , kwenye waha kuna Koo ambazo muda mwingine zinaingiliana na wahutu au watutsi.Dah usikute damu ya kihutu ipo ndani yako!
Nairobi is 13.8B. Now Mr. Know it all, ebu tuambie how 262B ya kitanzania is bigger than 13.8B ya Kenya.Leta data Buda hatutaki maneno?
Nairobi Iko na 13.1 bil au 262 bil tsh as per 2024/2025
Kumbuka nyinyi mpaka health facilities mnazijumlisha kwenye osr ila sisi tunazireport tofauti kama mapato lindwa.
Si mlisema mnatumia pesa za ndani, demi ya nini tena?Kuzindua na kujenga ni vitu viwili tofauti, hiyo ya makutupora mpaka Dodoma ilishaanza ujenzi ilisimama kidogo sababu ya funds tu
Tell that baboon that Kisumu has more buildings above 15 floors than all Tanzanian cities and towns combined Ulitoka Dar.Kuna mji wa kulinganisha na Kisumu hapo Tanganyikan ukitoa Dar is slum?
View attachment 3581280View attachment 3581281View attachment 3581282View attachment 3581284View attachment 3581286View attachment 3581287View attachment 3581291View attachment 3581294View attachment 3581296View attachment 3581297View attachment 3581298View attachment 3581299View attachment 3581302View attachment 3581303
Unakumbuka mkiitisha construction board ya expressway? 😂😂😂😂Nywelee ngumu mna shida ya uelewa sana.
Haya weka hapa mkataba wa ujenzi na mkandarasi ni nani? Weka details zote hapa.
hahaha yani hujapata construction board mpaka leo 😂😂😂😂
is that construction board show me ??😂😂 zoom and show me
wenzetu bado wanatafuta construction board ya express way 😂😂😂😂😂
Chizi kweli hiyo ni yenu dar Iko na 400 bil ikiwa ni pamoja na health facilities , mwaka huu inaenda 465bil sawa na 23 bil ksh🤣🤣🤣Nairobi is 13.8B. Now Mr. Know it all, ebu tuambie how 262B ya kitanzania is bigger than 13.8B ya Kenya.
Nadhani ungepost picha moya 😂😂😂 uliokusudia mana hizo zingine ni takataka.. anyways unatutishia hizo affordable housing projects.? 😂😂😂Kuna mji wa kulinganisha na Kisumu hapo Tanganyikan ukitoa Dar is slum?
View attachment 3581280View attachment 3581281View attachment 3581282View attachment 3581284View attachment 3581286View attachment 3581287View attachment 3581291View attachment 3581294View attachment 3581296View attachment 3581297View attachment 3581298View attachment 3581299View attachment 3581302View attachment 3581303
Which more "evidence" do you have than this Nyamwezi?Wala sio kusumbuka,
Lete evidence kuwa huyo sio wewe na mimi nilete evidence kuwa huyo ni wewe. 😂😂😂
View attachment 3581317
Affordable housing projects enhe😂😂😂Nadhani ungepost picha moya 😂😂😂 uliokusudia mana hizo zingine ni takataka.. anyways unatutishia hizo affordable housing projects.? 😂😂😂
You always find consolation in slums not knowing that most Tanzanians live in slums compared to Kenyans.
Hata Talanta Stadium mliitisha hizo details zote mlisema haitajengwa, Leo mmebaki mkilia Tu.Nywelee ngumu mna shida ya uelewa sana.
Haya weka hapa mkataba wa ujenzi na mkandarasi ni nani? Weka details zote hapa.