Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehehhe😂😂👇👇



B9C4A5C3-B0C5-43F8-BBFB-4439E995D8D2.jpeg
B91D941F-5C5B-45E9-B6F7-008436354AAC.jpeg
613EEB85-A7F1-49E0-A31A-E026725486BD.jpeg
94E99561-71F3-44D8-AE7C-7941613162AA.jpeg

982FB600-619D-4650-8DC7-839552258004.jpeg
 
Yes, at least wameanza na upande huu sio mbaya maana kwa kweli fukwe hizi zina muonekano ambao sio mzuri hasa ukizingatia zipo jijini dar. Nilikuwa nazungumzia ile ya upande wa ferry kuja mpaka mitaa ya posta ya zamani na yenyewe kama wakiiboresha jiji litapendeza zaidi kwa maeneo hayo.
Dar es Salaam-Beach.jpg


IWE NA MUONEKANO KAMA HUU
Luanda Angola.jpg


Luanda-Avenida-4-de-Fevereiro.jpg
 
Inasemekana serikali ya Kenya ipo broke na kuepuka aibu ya kushindwa ku-finance budget stay at home ndo solution muhafaka! Kumbuka mishahara ni nusu!
Kenya is broke and yet nyinyi mnashindwa kulipa just $8m annual contribution kwa eac huko upande mwingine mkulima anawahangaisha na ndege zenu kuzuiwa nchi za ng'ambo kwa madeni, give us a break.......Tanzania ni nchi maskini kutupwa
 
remember this project ni ya private investor...as you understand private investor means business like the expressway being build by private investor ungejua venye hilo expresway anaijenga kwa kazi am sure itamalizwa kama bado electric train yenu bado inajengwa...tayari zishaanza kununuliwa reli..nangoje ile siku itamalizwa nikwambie utoke jamii forum..https://www.railjournal.com/africa/kenya-acquires-dmus-mallorca/..by 2021 it will be a done deal
Project ya Private Investors?
In Kenya Private investor Anaweza Kupewa Fund na WB na Gov?
JamiiForums1685360649.jpg
 
Back
Top Bottom