Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That’s not even the good side of Elgon view estate. Hujaiona bado. There is another one baking at the moment. Sergoit Gated community and Golf resort.
 
Sasa tuambie kwanini Iringa siyo jiji? Also mikoa mingine huini hapo maana population ni kubwa sana kuzidi mbeya
Nimekwambia tafuta takwimu sahihi.

Iringa ni Kijiji Kilichongangamka hakuna Cha population Wala Mapato makubwa hata ya kukaribia Mufundi DC.

Kuwa na population kubwa pekee sio kigezo Kikuu Bali population na Mapato.

Mji kama Tanga una population ndogo chini ya Laki 3 inazidiwa hata na Sumbawanga ila ilibebwa na Mapato makubwa ya Jiji na makao Makuu ya Mkoa basi vinginevyo haitakiwi kuwa Jiji.

Mwisho Mbeya ni Mji wa 5 Kwa idadi kubwa ya watu Tanzania ikitanguliwa na Dar,Mwanza,Dom,Arusha ndio Mbeya.

View: https://x.com/i/status/2018729734306234818
 
In fact Mikoa ya Kaskazini ya Nchi,Kati na Kanda ya Ziwa ukitoa pale Makao Makuu ya Mkoa huko kwingineko hakufai kuishi binadamu tofauti kabisa na Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo maendeleo Yako Hadi Vijijini na Wilayani huko.

Nimewahi kufanya kazi Kilindi na Korongwe yaani ukiona maisha ya watu unasikitika kabisa au kule Kwa kin Aweso Pangani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Lakini Mbeya hata ukija Busokelo mambo safi.
 
Kwa mantik hiyo Mbeya pia
 

Check mapato ya mbeya jiji ( own source revenue) hii ni kwa ngazi ya makusanyo ya jiji hatujafika tra
Hii ndo shinyanga yako unayosema inaizid mbeya? Kweli kama wako hivi makusanyo ya tra yatakuwaje
 
Sasa tuambie kwanini Iringa siyo jiji? Also mikoa mingine huini hapo maana population ni kubwa sana kuzidi mbeya
Tanzania, hadhi ya mji kuwa Manispaa au Jiji inaongozwa na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) [Local Government (Urban Authorities) Act, Cap. 288], kwa idhini ya Waziri mwenye dhamana na Rais kwa hadhi ya jiji.

Kwa kawaida, vigezo vikuu ni:
1. Idadi ya watu
Jiji: kawaida zaidi ya wakazi 500,000.
Manispaa: zaidi ya wakazi 80,000–100,000.
Mji mdogo (Town Council): zaidi ya wakazi 30,000.

2. Shughuli za kiuchumi
Uchumi imara wenye biashara, viwanda, huduma, masoko, benki, na mapato ya ndani ya kutosha.
Uwezo wa kukusanya mapato ya kuendesha huduma za jiji.

3 .Miundombinu
Barabara za uhakika
Maji safi
Umeme
Hospitali
Shule
Mfumo wa taka
Huduma za usafiri

4. Mpango wa matumizi ya ardhi
Urban planning/master plan rasmi
Maendeleo yaliyopangwa badala ya makazi holela
 
Kigezo namba 3 kinaiodoa Mbeya kuwa jiji
 
Babu jinga mbona mnapenda kujipa umuhimu na TZ,runner gani wa TZ anayetrain ukunyan?
 
Kigezo namba 3 kinaiodoa Mbeya kuwa jiji
Ila wewe Jamaa unachekesha.

Kwa hiyo Mbeya hakuna miundombinu,hakuna maji,hakuna Huduma za jamii (shule, hospital) ,hakuna umeme nk au? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Basi sawa kuanzia Leo Kwa tamko lako Mbeya sio Jiji πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiangalia kwa umakini Manispaa ya Moshi inaizidi Mbeya kwa vigezo karibia vyote.
Kwenye miundombinu Moshi ipo juu sana kuizidi mbeya, huu ni ukweli
Bahati mbaya kigezo sio kimoja na vigezo vinabeba weights tofauti.

By the way size ya Manispaa ya Moshi vs size ya Mbeya ni vitu vitu 2 tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…