Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1777281151173.png
 
Sababu za kuanguka kwa TIPPER mwaka 1999:

Uchakaaji wa Mashine na Teknolojia
Gharama Kubwa za Uendeshaji
Ushindani kutoka kwenye Soko la Dunia
Matatizo ya Usimamizi na Ubia
Kuingia kwa Sera ya Uliberalishaji

ndo maaana nkasema kwenye mahesabu kuna sehem it makes sense to IMPORT than to REFINE, pia fikiria kama una refinery nchini kwako bado unashindwa kupata cheap oil kushinda kuimport huoni kama apo economics zishafeli upande wetu?

CNG iliopo mtwara is used for cooking na magari pia kwenye hizo applications zingine fikiria kipindi soko lote la cooking gas na magari bado refinery imeshindwa kuendelea itaweza saahv sehem kubwa inashift?

Mm nachoshukuru Mungu ni project ya Dangote or else nlikua sioni kama it would have made sense, kwakua ni Kiwanda chake jamaa yeye anajua atafanya nn
Kaka kipindi hicho hatukuwa na mafuta hapa East Africa. Kwa sasa tupo na bomba linaleta crude oil toka Uganda.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini Tanzania tunaagiza mafuta India?
 
Kaka kipindi hicho hatukuwa na mafuta hapa East Africa. Kwa sasa tupo na bomba linaleta crude oil toka Uganda.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini Tanzania tunaagiza mafuta India?
wewe unaioanje Tz ya miaka 10 mbele? mm Naona kama nguvu imewekwa kwenye Gas zaidi, kuhusu Bomba la Uganda ile ni business tu cha muhimu yalikua yafike Tanga alafu meli zije kuchukua pale
 
ata ile Gas ya mtwara ni ya kupikia, the only difference ni in Nozzles zake special but ni ya kupikia, infact its transmited via underground pipe, mikochen nmeiona hio sana!

sasa hizo application zingine Mafuta ya ndege, ujenzi wa barabara economically it makes sense to IMPORT than to refine, unajua sio kwamba hatujawahi jaribu kua na refinery apa east africa, zishakuepo
Kaka Gas ya mtwara inaitwa Natural Gas, huwezi kuiweka kwenye mitungi ya kupikia. Hiyo unayoiona kwenye mitungi ya kupikia inaitwa LPG imetokana na mafuta kaka. Natural Gas ni methane, ili uweze kupikia ni lazima uunganishe bomba majumbani. Mradi wa kuunganisha momba kila nyumba ni mkubwa sana unahitaji investment kubwa.

Lakini tukiwa na refinery tutapata LPG pale.
 
wewe unaioanje Tz ya miaka 10 mbele? mm Naona kama nguvu imewekwa kwenye Gas zaidi, kuhusu Bomba la Uganda ile ni business tu cha muhimu yalikua yafike Tanga alafu meli zije kuchukua pale
Kaka Gas ipo na kazi yake na mafuta yapo na kazi zake. Kila kimoja kipo na faida zake. Heavy duty machines zinaendeshwa na mafuta. Ndio maana nchi zenye refinery zinateneza silaha za kivita kwa urahisi.
 
Kijana mdogo umezeeka kwa kunywa pombe za kienyeji. 😂😂😂
Desperation itaua wengi humu. Why are you trying do hard to prove my identify here Nyamwezi? Huu ni kwamba wa ngapi by the way ukifanya the same thing? 😄😄
 
Kaka Gas ya mtwara inaitwa Natural Gas, huwezi kuiweka kwenye mitungi ya kupikia. Hiyo unayoiona kwenye mitungi ya kupikia inaitwa LPG imetokana na mafuta kaka. Natural Gas ni methane, ili uweze kupikia ni lazima uunganishe bomba majumbani. Mradi wa kuunganisha momba kila nyumba ni mkubwa sana unahitaji investment kubwa.

Lakini tukiwa na refinery tutapata LPG pale.
ile ya mtwara according to my reserach inahitaji mitungi special lakini nlishaiona ikitumika mikochen ila yenyewe ni kwa pipe, inaingia home kama pipe za maji, ukiangalia soko kubwa la refinery tuseme ni vehicles and cooking, hizo jet and kutengeneza LAMI naona kama ni percent ndogo, alafu pia ukiangalia bei ya CNG kwenye magari ni kama 75% cheap kuliko petrol leave alone zile zinatumia umeme

Mm personally SIONI future kubwa sna ya mafuta but yataendelea kuwepo for those legacy engines na sehem uchumi mdogo, infact hata umeme wetu unatumia CNG ikitoka maji
 
ata ile Gas ya mtwara ni ya kupikia, the only difference ni in Nozzles zake special but ni ya kupikia, infact its transmited via underground pipe, mikochen nmeiona hio sana!

sasa hizo application zingine Mafuta ya ndege, ujenzi wa barabara economically it makes sense to IMPORT than to refine, unajua sio kwamba hatujawahi jaribu kua na refinery apa east africa, zishakuepo
LNG kwa kupikia inafaa zaidi ukiwa na pipelines connected to the houses na inahitaji LNG kuwa na compressor! Haifai kihivyo kuweka kwenye mitungi kama liquid petroleum gas!
 
Back
Top Bottom