concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
No way kaka. Uganda!!! Tanzania is the Logistic Hub in the region. Bado hujaongelea madini.
Kwenye uchimbaji wa Uranium pekee tunategemea kupata dola bilioni 1.45 kuanzia mwaka 2029 kila mwaka.
Bado kuna uvuvi, Bado kuna viwanda vinajengwa kaka, kaka, kaka nakuita mara tatu.
Bado bandari zetu hujaziweka. Huyu uganda atatokea wapi?
Kwanza siamini kwa sasa gdp ya Tanzania kama Ina uhalisia .
Mfano kabla ya korosho,mbaazi na ufuta kuanza kuuzwa gharani ilikuwa nadra kupata data za exports wakati uhalisia korosho ilikuwa inatoka sana .
Kwa sasa ukitafuta exports za avocado kwenda Kenya utaambiwa Tani 40 kwa mwaka ,ila ukienda namanga Kila siku kuna masemi ya kufa mtu yanavuka.
Uhalisia wa data hauendani na mtaa. Hakuna mtu anayefnya survey au census ya production ya vitu kama mazao na kadhalika.
Hata idadi ya nyumba kwa mwaka ni ngumu kuzipata ,
Reports kwa bongo Inaweza ikawa 10% ya uhalisia wa mtaani