Kaka, unatakiwa uelewe kwanza products zinazotokana na refinery ni nyingi, siyo mafuta pekee.
Tunapa:
Light Ends: LPG (Propane/Butane), Gasoline - Cooking fuel, passenger cars, light vehicles
Middle Distillates: Diesel, Jet Fuel, Kerosene - Heavy-duty trucks, aviation, home heating
Heavy Ends: Fuel Oil, Bitumen (Asphalt) - Ship engines, power plants, road construction
Specialties: Lubricants, Waxes, Petroleum Coke - Motor oil, candles, steel manufacturing, Plastic
By-products: Sulfur, Hydrogen - Fertilisers, chemical synthesis
Sababu za kuanguka kwa TIPPER mwaka 1999:
Uchakaaji wa Mashine na Teknolojia
Gharama Kubwa za Uendeshaji
Ushindani kutoka kwenye Soko la Dunia
Matatizo ya Usimamizi na Ubia
Kuingia kwa Sera ya Uliberalishaji