Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ke
1000018295.jpg

1000018315.jpg

1000018232.jpg
1000018183.jpg
1000018165.jpg
1000018158.jpg
1000018300.jpg
1000018297.jpg

1000018305.jpg
1000018307.jpg
1000018306.jpg
1000018314.jpg
1000018316.jpg
1000018312.jpg

1000018310.jpg
 
No mambo hayako hivo, kuna mda IMPORT is cheap than producing it, For example Tanzania kushakuaga na refinery Miaka ya nyuma, i can remember it ilikua inaitwa TIPER (Tanzania International Petroleum Reserves Limited)

Hii refinery ilikuja kufungwa sio kwamba mahitaji hayapo ila Income Vs Expenses vilikua dunia na kuzimu, na sio Tanzania tu, Kenya ni miongoni mwa nchi pia mwaka ya nyuma walikua na Refinery na walishaifunga mda sana

Infact moja ya kelele wakenya wanaolilia ni Ile yao irekebishwe ili mzigo usiende Tanga, So ukiangalia economics za mbelen sometimes hesabu zinaenda kushoto, So sometimes its cheap to import!

Geza Ulole
Kaka, unatakiwa uelewe kwanza products zinazotokana na refinery ni nyingi, siyo mafuta pekee.
Tunapa:

Light Ends: LPG (Propane/Butane), Gasoline - Cooking fuel, passenger cars, light vehicles

Middle Distillates: Diesel, Jet Fuel, Kerosene - Heavy-duty trucks, aviation, home heating

Heavy Ends: Fuel Oil, Bitumen (Asphalt) - Ship engines, power plants, road construction

Specialties: Lubricants, Waxes, Petroleum Coke - Motor oil, candles, steel manufacturing, Plastic

By-products: Sulfur, Hydrogen - Fertilisers, chemical synthesis

Sababu za kuanguka kwa TIPPER mwaka 1999:

Uchakaaji wa Mashine na Teknolojia
Gharama Kubwa za Uendeshaji
Ushindani kutoka kwenye Soko la Dunia
Matatizo ya Usimamizi na Ubia
Kuingia kwa Sera ya Uliberalishaji
 
No mambo hayako hivo, kuna mda IMPORT is cheap than producing it, For example Tanzania kushakuaga na refinery Miaka ya nyuma, i can remember it ilikua inaitwa TIPER (Tanzania International Petroleum Reserves Limited)

Hii refinery ilikuja kufungwa sio kwamba mahitaji hayapo ila Income Vs Expenses vilikua dunia na kuzimu, na sio Tanzania tu, Kenya ni miongoni mwa nchi pia mwaka ya nyuma walikua na Refinery na walishaifunga mda sana

Infact moja ya kelele wakenya wanaolilia ni Ile yao irekebishwe ili mzigo usiende Tanga, So ukiangalia economics za mbelen sometimes hesabu zinaenda kushoto, So sometimes its cheap to import!

Geza Ulole
Anayejenga refinery ni Dangote. Siyo UG, KENYA wala Tanzania.

Hiyo refinery ya Kenya ni kama TIPER tu. Teknolojia ya zamani, ilishakufa na haifai kwasasa.
 
At the end of the season Shabana FC collect more money on match days than any other team in Tanzania.
Muone mpumbavu mwingine huku, Shabana yenye average gate collection ya 960,000 per match .
Kweli mko desperate sana. Highest revenue ya Shabana kwa mwaka huu ni 3.5 mil ksh au 70 mil tsh.
Halafu wanashindwa hata kulipa salary.
Screenshot_20260427-085815~2.jpg

Hiyo hapo kwenu ni 44mil ksh only gate fee Tena kwa mwaka 2024 haya tuletee ya Shabana ,gor mahia ,afc leopard kwa mwaka kama wanaweza fikisha hata 20mil.
Level ya got mahia ni mashujaa FC kwa tanzania
 
No mambo hayako hivo, kuna mda IMPORT is cheap than producing it, For example Tanzania kushakuaga na refinery Miaka ya nyuma, i can remember it ilikua inaitwa TIPER (Tanzania International Petroleum Reserves Limited)

Hii refinery ilikuja kufungwa sio kwamba mahitaji hayapo ila Income Vs Expenses vilikua dunia na kuzimu, na sio Tanzania tu, Kenya ni miongoni mwa nchi pia mwaka ya nyuma walikua na Refinery na walishaifunga mda sana

Infact moja ya kelele wakenya wanaolilia ni Ile yao irekebishwe ili mzigo usiende Tanga, So ukiangalia economics za mbelen sometimes hesabu zinaenda kushoto, So sometimes its cheap to import!

Geza Ulole
Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER)
 
Muone mpumbavu mwingine huku, Shabana yenye average gate collection ya 960,000 per match .
Kweli mko desperate sana. Highest revenue ya Shabana kwa mwaka huu ni 3.5 mil ksh au 70 mil tsh.
Halafu wanashindwa hata kulipa salary.View attachment 3580006
Hiyo hapo kwenu ni 44mil ksh only gate fee Tena kwa mwaka 2024 haya tuletee ya Shabana ,gor mahia ,afc leopard kwa mwaka kama wanaweza fikisha hata 20mil.
Level ya got mahia ni mashujaa FC kwa tanzania
Huyo nae usimtilie maanani ni chizi huyo.
 
Back
Top Bottom