Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya wakiwa na viwanja kama hivi , mtandaoni hatutawapona
1777217070717.jpg
1777217065736.jpg
1777217052279.jpg
1777217062050.jpg
1777217047453.jpg
1777217034833.jpg
1777217026038.jpg
1777217029439.jpg
1777217016062.jpg
1777217009280.jpg
1777217012552.jpg
1777217005666.jpg
1777217001080.jpg
1777216998035.jpg
 
Issue ya refinery inawauma mno,cha ajabu ni wao ndio wanaolazimisha wajoint kwenye ule mradi,maana ule mradi unaweza kufanya kazi vizuri tu bila uwepo wao,but wanafosi eti waje kusabotage tanga port maana wanajua,s sudan atajoin kwenye ile EACOP
South Sudan ku-join EACOP is given! Total wana vitalu South Sudan! Kingine Museveni is having an upperhand kule!
 
Issue ya refinery inawauma mno,cha ajabu ni wao ndio wanaolazimisha wajoint kwenye ule mradi,maana ule mradi unaweza kufanya kazi vizuri tu bila uwepo wao,but wanafosi eti waje kusabotage tanga port maana wanajua,s sudan atajoin kwenye ile EACOP
na Refinery yenyewe ata sio yao
 
Back
Top Bottom