concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
sasa nchi yenyewe watu wanaruka geti, FKF president hataki kuachia uongozi unategemea nn
Hivi tuwaambie derby ya kariakoo itayofanyika jenerali isamuhuyo mbezi itaenda zidi mapato ya derby yao pamoja na kuwa kiwanja kitakachotumika ni Cha 7000 spectators