stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,654
- 39,937
Ushamba ule sisi tulifanya 2007 almost miaka 20 iliyopita,kunyan ni washambaSasa kama mlikuwa mnajaza sababu ya kwenda kushaangaa uwanja?
Hivi unajua the highest ever recorded match revenue in east Africa Iko Tanzania at 30mil ksh au 602mil tsh.
Ule ulikuwa ushamba wenu, iweje Leo mnashindwa kulipia 12000 ksh per derby
Hayo mambo tushayapita , kama waliongoza kwa kwa attendance mbona mapato hatuyaoni.Ushamba ule sisi tulifanya 2007 almost miaka 20 iliyopita,kunyan ni washamba
40? 50 bora hawapo! hata 70 bora hawapo! Abishe Mkundustani humu ndani!Hivi hata 40 Bora hampo , View attachment 3579805
Wanakwambia CHAN tuliwaaibisha ila wanashindwa hata kuwemo kwenye 70 Bora .40? 50 bora hawapo! hata 70 bora hawapo! Abishe Mkundustani humu ndani!
sasa nchi yenyewe watu wanaruka geti, FKF president hataki kuachia uongozi unategemea nnWanakwambia CHAN tuliwaaibisha ila wanashindwa hata kuwemo kwenye 70 Bora .
Na mapato kwa mechi huwa ni 1mil
sasa nchi yenyewe watu wanaruka geti, FKF president hataki kuachia uongozi unategemea nn
So dictatorship imekuwa sasa ni Maendeleo?… ok jienjoy basi ..🤪Aggrey Mutambo ni Mkenya. Kila mtu anawajua wakenya mnavyoumia kuhusu maendeleo ya Tanzania
Huwa mnapenda kutengeneza data na kujifariji eti ya nne duniani🤣🤣🤣🤣🤣It’s now official ….. Hii itawauma Bongolalas ..
View attachment 3579818
I know lots of top tier American football colleges are expanding their luxury suites but till then .. Talanta is number 4 in the world… ( University of Alabama stadium leads with 159)….. Talanta si mchezo!
View attachment 3579819
Yap tunaweza waachia mu host both opening and closing sababu hamtakuwa na viwanja vya kutosha . Mtakuwa na talanta tu , kasarani na nyayo ni ngumu sana kuvuka huo mtihani wa certification.Hizo zote ni Kelele tu . But hereby are the facts;
AFCON opening ceremony and Finals ni Talanta
Talanta when complete will be the top stadium in East and Central Africa.
Talanta will have 52 skyboxes making it 4th on the planet . Think about that